Search results

  1. Haven

    stroller na feeding seat zinauzwa

    GRACO baby stroller na feeding seat zipo kwenye hali nzuri zipo dodoma. call 0718845732
  2. Haven

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    yap China zipo barabara kibao za kulipia, hazinaga foleni kabisa, na watu hulipia kiroho safi tu
  3. Haven

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    nielewavyo mimi ni kuwa bible imewaelezea key characters yaan wale ambao matendo yao yalikuwa na impact kwa wanadam wa kizazi kile or vizazi vilivyofuata. so naamini Adam na hawa walikuwa na watoto wengine zaid ya Cain na Abel nao walizaliana na kuwa jamii kubwa maana enzi hizo sera ni kuijaza...
  4. Haven

    Wadada beware of destiny

    kwahiyo iyo destiny inawapata wadada tu??? mie naona anapitia mitihan tu ya maisha na hiyo inawapata wote wadada na wakaka. so usimjaji coz hujui anachopitia maana hata ww hujui destiny yako.
  5. Haven

    Kwanini wanawake/wasichana wakishaolewa wanajisahau?

    hukuomba!?...anza sasa maanake huyo akipindua, timbwili lake hakuna color utaacha ona. well kuhusu kubadilika it goes both ways.
  6. Haven

    Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

    kasema gari alimkutanalo KABLA HAWAJAOANA' so halipo ktkt mgao kabisa. iyo gari nyingine ni ya ofisi so haihusiki pia.over!
  7. Haven

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    huyu ni Dr. Slaa mwenyewe, I can even hear his voice tone through this post.
  8. Haven

    WANAWAKE WAREFU HAWANA MVUTO kuliko wale wa kawaida.

    ..sema sio chaguo lako, hao wanaume wengi... wangapi?
  9. Haven

    Mwanamke: Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wakija kumnong’oneza awaambie, ‘ninajua’

    Aaaaa wapi....yaliyopita si ndwele bana.,watu wengi hutaka kujua past za wapenzi wao ..but. they can't handle it. Acha nife na past yangu
  10. Haven

    Harufu mbaya kikwapa: Wanaume wako pia.....

    AHAHHAHAHAHAAH..full mastori na mapendo..u have made my day. wengine sio uchafu ni magonjwa ya ngozi
  11. Haven

    Tambua dalili za mwanamke anayeanza kuukubali uhusiano wenu...

    AHAHAHAHAH... hapo fahamu anataka kuwa MUHASIBU wako..lol
  12. Haven

    Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

    Yaani ni kwamba haupo moyoni wala akilini mwake...sasa wewe cha kufanya delete kila kitu kumhusu then msahau milele, nina kanuni ndogo huwa naitumia waeza itumia pia..'mtu akikukataa na wewe mkatae' .
  13. Haven

    Wanaume Tuweni Makini Sana!

    AHAHHAHHAHAHH...mbavu zangu mie looh,
  14. Haven

    Wanaume Tuweni Makini Sana!

    ..nakupa like ya maandishi pia lol, nianze tu kuweka sijui vim, masabuni sijui matakataka gani ..kisa cha kuiunguza papuchu yangu!!
  15. Haven

    Kampani

    Asante, maana ndo nilikuwa ktk process ya pm, asa mpaka atoke huko sijui lini
  16. Haven

    Kampani

    hee umefanyaje tena?..uko banned, kupm haiwezekani
  17. Haven

    Kampani

    kweli eeh..round nyingine tena? mi nataka round hii....mwaka mpya naplan niwe home
  18. Haven

    Kampani

    Trancend mi naamini nakidhi vigezo vyako, ila niko mbali mwee
  19. Haven

    Hivi kweli, mfumo dume si ni laana ya mwanamke?

    Wewe ndo umetoa jawabu, kuna mmoja analalamika mkewe hataki cost sharing..natamani angesoma comment hii, siku zote RESPECT IS EARNED na hii haijalishi wewe ni mume au ni baba You have to fullfill your RESPONSIBILITIES, vinginevyo malumbano na misongamano haitakoma
  20. Haven

    Hivi kweli, mfumo dume si ni laana ya mwanamke?

    Jukumu lao ndio heshima yao..wengine hawataki kutimiza majukumu, lakini heshima wanaitaka itakuwa NGUMU!!
Back
Top Bottom