Search results

  1. jamesbond007

    Umri umemtupa mkono Sadifa?

    Waallah ni kweli huyo jamaa ni mgonjwa wa akili sio masihara ndio maana jwtz likampiga kalamu na hiyo degree ya mwanzo hakumaliza sasa master kaipata wapi au master za ccm tu! maana ni juzi tu tulimuona naibu waziri wa elimu anafanya manyago hadharani hata haya ccm wajaona! kuhusu sadifa, watu...
  2. jamesbond007

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    namuonen huruma huyu jama eti ni naibu waziri tena wa elimu anaiwakilisha tz kwenye international stage juu ya elimu ya tz, maskini hajui hata tanganyika imeungana na nhi gani! eti na zimbabwe! hofu yangu kuwa sasa anatafuta vita na ugomvi na mugabe! Kama kweli huyu ni waziri! duuu! poleni...
  3. jamesbond007

    Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

    Maalim Seif Sharif Hamad anahutubia mkutano mkubwa wa hadhara kisiwani Pemba sasa hivi na anasema: "Mimi sitafuni maneno kwamba ni muumini wa Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na mashirikiano kati yake na Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Namshangaa leo...
  4. jamesbond007

    Jussa ajiuzulu Unaibu Katibu Mkuu (ZNZ) ili 'kusaidia Zanzibar kupata Uhuru Wake'

    Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, muda mchache uliopita, ikielezea azma yake ya kujiuzulu nafasi hiyo. Hata hivyo, Jussa anabakia na nafasi zake nyengine kwenye Chama, ikiwemo ya ujumbe wa Baraza Kuu na Mkutano...
  5. jamesbond007

    GNU Baada ya Uchaguzi Mdogo wa Bububu

    Hakuna anayeweza kubisha kwamba sasa Serikali ya Umoja wa Kitaifa imejaribiwa na imefeli majaribu hayo. Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu ulikuwa ni mtihani uliokuwa ndani ya mtihani. Mtihani wa kwanza ni kwamba ulitakiwa upime kiwango cha ukubalifu wa Ajenda ya Zanzibar. Mtihani wa pili ulikuwa...
  6. jamesbond007

    CUF imeshindwa kwa sababu hizi

    1. Athari za uandikishaji 2010. Hakuna mabadiliko yoyote ni orodha ile ile ambayo wanachama wengi wa CUF hasa majimbo yenye nguvu hawakuandikishwa licha ya kelele zote zilizipigwa. Ukweli ni kwamba hiyo idadi ya matarajio ya Tume na watu walioandikishwa 9000 bububu. zaidi ya nusu si wakaazi...
  7. jamesbond007

    Kero mpya ndani ya mchakato wa katiba mpya

    ​* New Finance Bill yapitishwa kwa mbwembwe Bungeni * Magari zaidi ya 800 yakwama Bandari ya Dar – Tanganyika * Viongozi wa Zanzibar GNU wanasema ‘hawajui, hakuna ushahidi’. * Imezidisha na kuzaa kero (karo) mpya ndani ya Mchakato mpya wa Katiba Kama mmefuatilia kwa makini, Agosti 16-2012...
  8. jamesbond007

    Uamsho ni rehema ilioteremshiwa ASP na CCM–Zanzibar Kwanini waipiga mabomu ?

    Na Laila Abdullah, Ni ukweli usiokanushika wa Historia ya miaka 48 ya Mapinduzi na Muungano, kwamba Chama cha Afro-Shirazi Party (ASP) na baadae CCM –Tawi la Zanzibar, pamoja na viongozi wake wote walioshika hatamu tangu 1964, ndio wenye JUKUMU la Msiba ulioiangukia Zanzibar. ASP kamwe haiwezi...
  9. jamesbond007

    Maoni ya katiba- wahafidhina wanavyoteseka zanzibar

    WANAOGOPA KUDHURIWA NA VIAPO VYAO TUWAOMBEE DUA KWANZA WASIPOBADILIKA TUWAZOMEE KWA ZAMU. By Zdaima. Mwenyezimungu wafunguwe waja wako hawa waweze kutambua wema na ubaya Amiin. Ndivyo ninavyoweza kuanza maelezo yangu haya. Naaam wazalendo. Kwa kweli hali ya ndugu zetu hawa wahafidhina...
  10. jamesbond007

    Maalim Seif: Tunataka kiti cha Zanzibar UN kirudishwe

    father of all, elewa hakuna mzanzibar anayeta muungano huu ila wale mamluki wa tanganyika na wazanziar wenye asili ya tanganyika ambao wana hofu ya kufukuzwa zanzibar, ila sie niya yetu ni hali ya nchi yetu tu, hatomfukuza wala kuwanyanyasa watu wasio wanzibar ndani ya zenj mpya baada ya uhuru...
  11. jamesbond007

    Maalim Seif: Tunataka kiti cha Zanzibar UN kirudishwe

    big up maalim, tuwachiwe tupumuwe
  12. jamesbond007

    Maalim Seif: Tunataka kiti cha Zanzibar UN kirudishwe

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuna haja kwa Zanzibar kurejeshewa kiti chake katika Umoja wa Mataifa (UN). Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na viongozi wa wilaya na majimbo wa Chama cha Wananchi (CUF) katika ukumbi wa Benjamin Mkapa, kisiwani...
  13. jamesbond007

    Wabunge 30 wa Zanzibar watetea Muungano; Wataka wasioutaka wang'atuke!

    mmmmmmmmmmm! hao cc tunawajua kuwa wanachojali ni matumbo yao tu kwa kusheheni miposho wanayolipwa bungeni sasa wengi wao taaluma na fani zao hazieleweki yaani kuna wengine kati yao hata form 2 wakufika wamekuwa wabunge kwa ujinga wa ccm-zanzibar tu! sasa tunachosikia hivyo cc wazanzibar...
  14. jamesbond007

    Mzee Hassan Nassor Moyo: Kauli yake juu ya Muungano na hatma ya Uanachama wake ndani ya CCM

    YEYOTE atayejaribu kuitalii jamii ya Zanzibar ya leo haitomchukua muda kutambua kuwa katika medani yake ya kisiasa kuna kambi mbili kuu. Kambi hizo zinawakilisha ajenda mbili zinazouongoza mjadala mkubwa wa kisiasa unaoendelea Visiwani: ajenda ya Tanganyika na ajenda ya Zanzibar. Hii ndiyo hali...
  15. jamesbond007

    Mgaza Othman: Wanaotetea Muungano wa mkataba wana ajenda ya siri

    wewe unazani watanganyika walioko zenj, wanapenda kuiona zanzibar ikawa huru? kiasi aseme hayo ila tunawatoa hofu watanganyika wote waishio zenj, cc shida yetu ni zanzibar huru sasa hatuna wala hatutasubutu kumfukuza mtu yyte zanzibar kwakuwa yy si mzanzibar ila sheria za kimataifa zifuatwe tu...
  16. jamesbond007

    Tume ya Warioba yatupiwa lawama, Zanzibar

    Tume ya Warioba yatupiwa lawama Tume ya kukusanya maoni ya Katiba inayoongozwa na ya Jaji Joseph Warioba, imetupiwa lawama kwa kushindwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya baadhi ya viongozi wa CCM wanaowatisha wanachama wasitoe maoni ambayo yanatofautiana na msimamo wa chama hicho. Waziri...
  17. jamesbond007

    Mansour Himid: Hata nikivuliwa uwanachama wa CCM, sitabadili mawazo yangu kuhusu Muungano

    Waziri Mansoor aunga mkono mkataba! Waziri asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansoor Yussuf Himid, amependekeza kuwepo na Muungano wa mkataba kati ya Tanzania bara na Zanzibar. Mansoor alitoa matamshi hayo wakati akichangia hoja kwenye semina ya mjadala wa...
  18. jamesbond007

    Membe akalia 200bn za Zanzibar

    mie niipost hiyo mwanzo baada ya dk 10 tu wakaiondoa, baada ya vijana kuichangamkia ila for info visit Mzalendo.net ama www.zanzibaryetu.wordpress.com
  19. jamesbond007

    Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

    kijana wacha kasumba hizo sema kweli,! sio tabia nzuri mtu mzima kusema uongo hakuna cha muoman anayedhamini vuguvugu la ukombozi wa Wanzibar tutoka katika jinamizi hili lililopachikwa jina la muuungano, ni Wazanzibar wenyewe tu wameona bora wawachiwe wapumue kutokana na dhiki na mayanyaso na...
  20. jamesbond007

    Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

    Tuachiwe tupumue! ndio kauli mbiu yetu Wazanzibar!, jamaani hamuelewi kiswahili ona yalianzia kwa Muamsho sasa kwa Viongozi wa kisiasa! mnasubiri nini tena?
Back
Top Bottom