Search results

  1. farryandy

    Diamond platinumz ashusha thamani ya shillingi ya TZ

    Ushasema mlikuwa mnakunywa konyagi
  2. farryandy

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    mtoa mada umekosa watoto wa kuwadanganya?
  3. farryandy

    Unasemaje kuhusu serikali tatu?

    Nadhani kila mtanzania ana lake la kuchangia... hebuzungumza lililoko moyoni mwako... USIFICHE. PICHA:mathematically=WRONG.....Politically=RIGHT.........Digital Computing.=RIGHT... Sasa tunasemaje tatu mbili moja?
  4. farryandy

    Msaada wa Chuo bora kati ya hivi

    duh hivyo ni vyuo au vituo?
  5. farryandy

    Humphrey Polepole ni nani?

    I know the man in person.... kiujumla namkubali sana.
  6. farryandy

    Kisa cha mtoto aliemuua mume wake wiki moja baada ya ndoa.

    pitia link hii... kumbe ni kweli muddy alioa mke wa miaka 9 http://islamgreatreligion.wordpress.com/2011/04/11/why-prophet-muhammad-married-aisha-when-she-was-only-9/
  7. farryandy

    Kisa cha mtoto aliemuua mume wake wiki moja baada ya ndoa.

    http://islamgreatreligion.wordpress.com/2011/04/11/why-prophet-muhammad-married-aisha-when-she-was-only-9/
  8. farryandy

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    niko India nimeishuhudia hii... mara ya kwanza kwanza nilikuwa naona ni kitu cha ajabu lakini sasa hivi naona kawaida kabisa.
  9. farryandy

    Kama vipi muungano uvunjwe.

    zitazamwe faida na hasara za muungano kiundani... tusikae kung'ang'ania muungano kama pambo la kihistoria ambalo halitunufaishi kwa vyovyote wala kwa lolote... ni uupuzi... kama muungano wenyewe ndo malumbano kila siku... tuufutilie mbali kwasababu hasara zinakuwa nyingi kuliko faida. hat mke...
  10. farryandy

    Randama ya Rasimu ya Katiba Mpya: Hivi ndivyo inavyosema kuhusu Serikali tatu

    SURA YA SITA MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO Ibara ya 60 Muundo wa Muungano a. Maudhui ya Ibara Ibara ya Rasimu ya Katiba inaainisha muundo wa Muungano wa Shirikisho la Serikali tatu, ambazo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya...
  11. farryandy

    Familiya ya kitajiri

    kuwa na watoto wengi ni sifa?
  12. farryandy

    hatari: COCA COLA kampuni yenye siri kubwa ijulikanayo na watu wawili tu ulimwengu mzima.

    i wish ningevipata hivyo viroba huku niliko. #from delhi india.
  13. farryandy

    hatari: COCA COLA kampuni yenye siri kubwa ijulikanayo na watu wawili tu ulimwengu mzima.

    huwezi kuelewa.... hiyo ni lugha..... ngoja nikueleweshe.... inamaanisha: "its impossible the secret to be given out no matter what "
  14. farryandy

    TAHADHARI: Wizi mpya wa password yako ya Facebook waibuka

    hiyo si mpya... iko siku nyingi saaana kitaalaamu tunaiita PHISHING soma hapa uielewe vizuri... http://en.m.wikipedia.org/wiki/Phishing
  15. farryandy

    hatari: COCA COLA kampuni yenye siri kubwa ijulikanayo na watu wawili tu ulimwengu mzima.

    The Formula for Coca-Cola What is it? It's no surprise that one of most profitable companies ever would want to keep their formula a secret. Even with hundreds of imitators, Coke still dominates world-wide sales of caramel colored drinks. But doesn't that stuff only have, like, four...
  16. farryandy

    Msc, Bsc, Btech ADMISSIONS IN INDIA.

    Whatsapp or call me on +919501976566
  17. farryandy

    Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    Nini maana uuaji... Si lazima iwe direct... Kuruhusu usboga kuna maanisha kupunguza uzao wa binadamu... Nani aliyezaliwa katika ndoa ya mashoga? Nani ambae ana baba dume mama dume.... Kama wao wlizaliwa katika ndoa za kishoga basi ushoga si uuaji ila kama ni vinginevyo ushoga utakiteketeza...
  18. farryandy

    Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    Tunaanzia katika uzi huu... Kauli mbiu ni "KUUKUBALI USHOGA NI UUAJI"
Back
Top Bottom