Search results

  1. M

    Makamba Atoa Msaada Wa Mchele Mbovu Kwa Waliobomolewa Nyumba Tabata

    Nakataa,Makamba ametoa msaada kwaniaba ya chama-na nakuu"CCM haina ghala". Jambo lengine anadai amenunua toka kwa Zakaria,nakubali kutokubali kwani huyo nimiongoni mwa wafadhili wakuu wa CCM. Mnakumbuka ya Idd Simba huyo pia alipata tenda ya sukari,bila kusahau ule muswada wa Zakia Meghji...
  2. M

    Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania

    Pia Dadangu shukuru MWAPACHU kutokuwepo maana nimzigo kwa Taifa hana jipya ila mipasho tu. Kama umemsahau yeye alikuwa Mkurugenzi wa ATC akaifilisi-nabado ataramba mchanga maana Kisauji atamuanguangusha. Alikuwa najeuri yamwaka kwakupatiwa vyeo vya fadhila-alifikia kusema kama hamtamchagua...
  3. M

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    Shukran,Mheshimiwa Rais-kipindi chakulipa fadhila kimeisha sasa nikazi mbele kwambele. Tulizoea sura ya Mwapachu na Mh.Kingunge naleo umechagua wachapa kazi wengine. Alokutangulia(BM) hao aliwaita ASKARI WA MIAVULI sassa sijui wewe utawaitaje labda tuwaite JESHI LA UOKOVU.
  4. M

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Alikula rushwa sana,wakati alipokuwa waziri wa ardhi. Kazi yake nakipato chake havilingani. Anajuana sana namatajiri kuliko maskini. Hulipa fadhila kwawana mtandao. Nahulipa kisasi navitisho kwayule anaaemnyooshea kidole.
  5. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    samahani,mwana JF kama kuuza nchi ilikuwa ni ajenda yakutosha ya Kaka Ben Mkao Wahapa-ameuza mpaka kachukiza.Aliweka mikataba mibovu mfano wake hakuna.Kwani watu wamesahau wale makaburu walokuja kuwekeza kwenye maji jijini kama hujui muulize huyo mchumba wa msanii jafarai maana alikuwa meneja...
  6. M

    Help me tafadhali...

    Dadangu,ninavyohisi unamapungufu-kama kweli unayaweza kuwangangari. 1.Dalili nikuwa wewe ni Mtumwa wa mapenzi,kwamaana hilo ni penzi la upande mmoja. 2.Muda unakwenda nahaurudi nyuma,harakia maisha yako kabla hujaharibikiwa. 3.Kila Mwanaume anapenda Mwanamke mwenye mafanikio,epuka kuwa mzigo...
  7. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Ndugu usiwe kishoka-nipunde tulitoka kwenye utawala wa Mkapa. Nandio chaguo la Mwalimu-alotuamrisha tufunge mikanda wakati huyo kijana wake amekaribia kupasuka kwa kufura. Inajulikana yakwamba yeye ni MJASIRI MALI nakajilimbikizia-Mh.Butiku anajaribu kumnasihi,jamaa utadhani mbuzi kagoma...
  8. M

    Hatimaye Misri Yatetea Kombe

    Ndugu wana JF,hii nikutaka kupata kujua mtizamo wenu. Maana ninakhofu yakuwa Mwafrika Halisi hana cheka ktk ardhi yake,nawakati huohuo Mwafrika Wakuchonga anatawala soka letu. Ilikuwa Tunisia,akampokea ndugu yake Misri nsye anaendelea kuling'ang'ania. Je,ni kweli Waafrika tupo tayari...
  9. M

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    iwe jinzi ama kitambaa basi tutavaa kitamaduni ikiwemo Lubega,rungu na sime kiunoni-maana nasikia anakuja pia kuhamasisha utalii hivo vazi hilo litasaidia. Hapo,nikiruhusiwa basi nitaomba na Marekani waige mfano wa Waarabu waliomilikishwa LOLIONDO nawao ikiwezekana wawekeze Mikumi-je hapo mambo...
Back
Top Bottom