Search results

  1. M

    Anaweza kushinda kwa asilimia zisizopungua 52

    mmmmh napita tu:llama:
  2. M

    Jeshi la Polisi lifumuliwe, halina ubunifu na weledi!

    ila mimi nadhani endapo polisi watapewa lungu, wahalifu wote watakwisha sema wanaogopa sana. maana nasikia hata polisi akiua jambazi inaweza kula kwake.
  3. M

    IGP Said Mwema aagwa rasmi leo

    Nilikuwa napita maeneo ya Kilwa road,nikaona kundi kubwa la watu,nilipouliza nikaambiwa ni sherehe za kumuaga Alhaj Said Ally Mwema. Mliopo huko tupeni taarifa rasmi. IGP huyu kweli alikuwa mwema,na aliechukua nafasi yake ndio mwema kwelikweli. Mungu awape afya njema.
  4. M

    Hizi ni zama za mwisho za dunia

    jamaa kwa kukosoa watu wewe,looo.maana kila kitu wakitoa kasoro, mi nampongeza mhrais kwa uteuzi wake. maana watu wengine mnakuwa kama nzi,ambae hata uvae suti ya aina gani,atajitahidi mpaka aone kidonda, tulia wewe acha kumpa dosari rais wetu,maana hata rais atoke mbinguni awe malaika nina...
  5. M

    nakupenda na nakutakia usiku mwema

    sawa mkuu, lala salama, uote unakula mifupa ya paka,uote unakimbizwa,pia uote unang'atwa na madhombi.
  6. M

    Hivi Fidel Castro yuko wapi?

    yupo jamaica, wiki iliyopita alikuwa kilindi kuwasaidia alshababu
  7. M

    Baraza jipya la mawaziri

    mmmh,mkuu wewe ni jini au shetani?umewezaje kuingia ktk mawazo ya mheshimiwa?acha kutupotesha.
  8. M

    Kama shere zipo hivi,,sitaki kualikwa tena

    nimehudhulia sherehe moja ya kiserikali hapa kinondoni,ila chaajabu hakuma hata vinywaji,pia wahudumu hawaji,japo nimevaa suti nyeupe lakini hawanifuati. looo, sitaki mualiko tena.
  9. M

    Tecno smartphone...!

    tecno N3S ipo juu ya laini moja
  10. M

    Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

    Sahih International Allah is the Light of the heavens and the earth. The example of His light is like a niche within which is a lamp, the lamp is within glass, the glass as if it were a pearly [white] star lit from [the oil of] a blessed olive tree, neither of the east nor of the west...
  11. M

    Utabiri wangu kuhusu yale yatakayojiri mwaka 2014!

    mwaka usiogawanyika kwa kwa herufi x, yaani 7÷2=3.5 mkosi
  12. M

    Tetesi mauaji ya kutisha Mwanza

    taarifa haijitoshelzi mkuu
  13. M

    Life after Death: What happens after death?

    mmmh usimchokoze mungu mkuu
  14. M

    hahahaaa,njia ya kujua simu ya kichina

    hahahaa, napita tu,
  15. M

    Wana JF Iringa mjini gesti gani nzuri kufikia?

    nenda ihemi, pale guest ni shs.3000 tu
  16. M

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    mi nimeshamaliza mshahara tangu tarehe 18.11.2013. hahaaa subirieni tu
  17. M

    nini maana ya siasa safi?

    jamani nauliza naomba msaada,maana nakumbuka kuwa tukiwa msingi tukisoma katika somo la uraia kuwa ili tuishi tunahitaji siasa safi na uongozi bora, je ni ipi siasa safi?
  18. M

    Tanzia: Mtambuzi apatwa na Masiba

    pole sana ndugu yetu
Back
Top Bottom