Search results

  1. O

    Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU

    kwa taarifa za ndani ni kwamba walitakiwa tozwa million7 na agha khan kwa hiyo huduma ila wao waliona nyingi wakaamua mpa ticha wao million4 ili ikachomewe dampo. huo ni uzembe wa hali ya juu, ada ya imtu ni kubwa sana, kukosa million7 ni fedheha kwa imtu.
  2. O

    Nisaidie kupata namba za mtu uyu

    mkuu una gari gani? maana toyota zinachinjwa mabibo/manzese machinjioni, landrover zinachinjwa temeke mwembe yanga na benzi zinachinjwa kurasini mivinjeni. sasa we sema gari yako aina gani ma model gani ili usaidiwe.
  3. O

    Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

    mkuu lindi vibao vinaonyesha 100kph, na sio 120kph.
  4. O

    Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

    nishapata ajari na prado old model, hizi gari zinahitaji umakini sana hasa ukiwa speed, maana ukiilaza upande mmoja, ukaamishia upande wa pili, unaweza jikuta umehama njia, instability ni ndogo sana. Though prado za kuanzia 2007 barabarani zipo stable compared na zile za zamani.
  5. O

    Flora:Mumeo mumeo tu anaitaji msamaha .mengine yabaki Historia

    Mbasha aanze maisha mapya tu, mtu aliyetayari kutengeneza mchongo wa kumuweka jela, akijua fika ni kifungo cha miaka 30 or maisha kitampata mumewa, hatoshindwa mlisha sumu or mitishamba ili ampoteze kabisa.
  6. O

    Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    mitiki yako ina miaka mingapi? mkopo wa m300 ni kwa mitiki mingapi? ni aina gani ya mkopo?
  7. O

    Nahitaji kujua magari ya bei nafuu yenye kutumia mafuta kidogo

    ya mwaka gani na cc ngapi? lita moja kilomita ngapi?
  8. O

    Speaker directs probe into UDA ownership controversy

    ningependa kujua shares za serikali ndani ya tbc pia. mwenye data yakinifu please.
  9. O

    Mwalimu wa Hesabu Form 4 Kibosho Girls Atafelisha Watoto Mwaka huu 2014

    usiogope sana, unaweza kuta mwalimu ana utaratibu wa kutunga mtihani mgumu, personally nlipataga A ya necta mathematics ila pepa za ndani zilikuwaga tight mbaya, unaweza pata 34 ukawa wa 13 kati ya watu 78, ila mwisho wa siku 42 students tulipata A, hakukuwa na F hata moja. Kuna walimu pepa...
  10. O

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    usishangae wanavyoanza ajiri watu wa construction/civil, maana very soon wanaanza jenga minara yao wenyewe, tayari kuna kampuni zimeshapewa minara ya kujenga ila vibali vya ujenzi bado vinashughulikiwa. usishangae kuona watu wa logistics wanaitajika kwa wingi, maana wao ni kitengo muhimu kwenye...
  11. O

    Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

    masaki, near sea cliff. kitu kama ocenic view plaza.
  12. O

    Job Opportunity..Smart Codes

    Mwambie Edwin aajiri mtu wa cerificate, mwenye kipaji, amtrain mwenyewe for few months, hapo atakuwa na uhakika wa kuwa na mfanyakazi atakayedumu naye hata kwa miaka 3!
  13. O

    Ushauri; mahala pazuri pa kuweka pick-up ya kukodisha

    kipande kwa siku ni shilingi ngapi? pick-up aina gani na yenye uwezo gani? hali ya gari ipo vipi? mafuta inatumiaje? imelipiwa ushuru na bima? bima gani imelipiwa? comprehensive or third part?
  14. O

    Benki gani inatoa LPO loans

    asante mkuu, kampuni nyingi nazoshughulika nazo zina system ya kutoa advance payment.
  15. O

    Benki gani inatoa LPO loans

    nipe elimu kidogo on how over draft loan is paid back. are there monthly payment or unalipa kwa mkupuo once you are paid.
  16. O

    Benki gani inatoa LPO loans

    kwa faida ya wengi, ningependa kujua usanii wao uko kwenye nini hasa?
  17. O

    Benki gani inatoa LPO loans

    Kwa wenye uzoefu na mambo ya mikopo kwenye mabenki yetu yanayofanya kazi zake hapa Tanzania naombeni mnijuze uzoefu wenu. Ni benki gani zinatoa mikopo based on LPO. (NOTE: collateral ipo ila nahitaji LPO loans only because of nature of my business) Kuna benki zinaurasimu sana, wanapenda wapewe...
Back
Top Bottom