Search results

  1. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
  2. Things Fall Apart

    HESLB na uzembe wa kujibu mail na kupokea simu

    Habari wanajamvi, Leo ninaleta kero hii kuhusu hiki kitu kinachoitwa HESLB, naam namaanisha Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania. Ni majuzi tu mheshimiwa Rais JPM alitengua uteuzi wa bwana mmoja aliyekuwa mkurugenzi mtendaji kwa muda mrefu sana ndugu George Nyatega ili kuhuisha...
  3. Things Fall Apart

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Habari wana JF, Naanza na swali: Je, ni halali kwa televisheni ya taifa (TBC) kutangaza habari kwa kupotosha? Hii imetokea leo katika uchambuzi wa magazeti kwani mtangazaji aliyekuwa akisoma habari za magazeti anashika gazeti na kusema "habari iliyopewa uzito wa kipekee..." lakini cha...
  4. Things Fall Apart

    Kutoka: Kama huna sh 200 piga mbizi, hadi Matatizo yenu nayajua

    Habari wana jamvi, Tukiwa katika tafakuri za hapa na pale kuelekea uchaguzi mkuu, nimeona si mbaya tukikumbushana hizi kauli mbili tofauti kabisa zilizotolewa na mtu yuleyule lakini kwa nyakati tofauti. Ilikuwa ni Januari Pili mwaka 2012 ambapo mgombea urais 2015 kwa tiketi ya CCM, Dr John...
  5. Things Fall Apart

    Kama unamkubali mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli gonga like twende sawa

    Wasalaam. Ndugu wanajamvi naona kuanzia tukio la Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kuhama CCM na kujiunga na UKAWA via CHADEMA tumejikita zaidi kuijadili UKAWA na Lowassa na kusahau kuwa hata mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli pia ni mgombea wa chama tawala na ambaye pia anaweza kuwa mkuu...
  6. Things Fall Apart

    Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

    Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake. Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake...
  7. Things Fall Apart

    'Kigodoro' Bungeni baaada ya Rasimu ya CCM kupita

    Haya ndi yaliyojiri siku ya tukio la kupitishwa kwa rasimu ya CCM. Naomba kuwasilisha
  8. Things Fall Apart

    Huwezi kuamini Asha Bakari alichokisema kwenye semina baada ya kuufyatua bungeni

    Naomba kuwasilisha hizi link (mbili) mjionee wenyewe wana jamii. Link ya kwanza akiufyatua bungeni Link ya pili akikiri kumuunga mkono Jussa lakini wakiwa wamejifungia kwenye semina ya CCM Kwa hali hii je, tutapata katiba ya Tanzania kweli? au majanga.
  9. Things Fall Apart

    Huyu ndiye waziri wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tupia jicho kisha tupa maoni yako
  10. Things Fall Apart

    nyeti-za-mwanaume-zimenasa-ndani-ya-uke-wa-mke-wa-mtu-nairobi

    tuepuke matendo haya. http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&ved=0CBwQFjAA&url=http%3A%2F%2Fblogsy.net%2Ftanzania%2Fswahili%2Fvitimbi%2Fnyeti-za-mwanaume-zimenasa-ndani-ya-uke-wa-mke-wa-mtu-nairobi-video%2F&ei=sm2GUMONJqqg0QWJwoDIBA&usg=AFQjCNGtK4xmEffalqNe-HVYWrlQhIk-AA
  11. Things Fall Apart

    ...akina dada zetu tuwe makini na 'provisional gifts'

    University girl died after sleeping with a dog…Devil worship? The Kenyan DAILY POSTFeatured Articles03:35 According to Gistpage.com… Uche (her surname withheld) was an Accountancy part time student of a Federal University, in Nigeria before her death recently. She was one of the...
  12. Things Fall Apart

    SMS za tiGO zinakera!

    "SAMAHANI HUJAUNGANISHWA NA HUDUMA YA EXTREME PACK" Hii ni moja ya mambo yanayonishawishi kuihama tiGO. Ts a hell of sms just been sent by some creepy electronic systems of this kampuni. I wonder whether they have any IT guy down there???
Back
Top Bottom