Search results

  1. N

    Kampuni ya uwekezaji kwenye Vitalu vya Utalii Mwiba Holdings LTD yakanusha umiliki wa ekari Milioni 6 Nchini. Yatishia kuwachukulia hatua wazushi

    Duh kama Singita Grumeti kelele ilipigwa weeee na ikazimwa? Unadhani hii itaishia wapi? Wa TZ tuna shida ya kupenda mihemuko, ya hasira na ya furaha. Ila kufanyia kazi issue hadi mwisho ni shida. Kati ya degree za kwanza tanzania ni sheria. Ila wanasheria wetu mhhh. Wenzetu wakisikia neno...
  2. N

    Whats wrong with African mothers?

    you will need a sample of at least 5000 mixed race ppl to substantiate your theory. otherwise it is insignificant. No proof no right to speak. And what do you mean by black? any race which is not originaly from Europe?
  3. N

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    search engine yoyote inaweza kukufahamisha freemasonry ni nini. Kwa kifupi tu ina lodges nyingi na ilianzia uingereza. Hakuna lodge inayozaimishwa kufuata mfumo wa mwenzie, ila zile sheria mama 3 ambazo ni za mwanzo, anti freemasons wapo sana, hasa uongozi wa kikristu na kiislamu (kwa sababu...
  4. N

    Swala la kutahiriwa kwa wanawake...mnasemaje?

    Do we need to be regulated? are/should we be free to choose anything? I know we can not go back, to the old ways. Why is it not ok for a small community which know each other not allowed to make its own rules, but it is ok for the govt, which does not know anybody make the same rule? And I know...
  5. N

    Nini Maana Ya Viongozi Kutoa Pesa Mifukoni Kwa Ajili Ya Maendeleo?

    je kuna mfano wa sehemu yoyote duniani ambapo wamelazimisha kuvunja chai hiyo? kama ipo, je wewe uko tayari kufanya walichofanya? if yes, tujiunge, if no then let us enjoy talking.
  6. N

    East African Federation (EAF) public Views

    Please anybody who believes from the heart that there are profits/benefits for us THE PEOPLE in this East African Federation thing, please use this place to convince me, I badly need to take this in, as it is here, with us, I need to, I have to know it, (not the political side only). THANK YOU...
  7. N

    Kiwango cha Elimu Tanzania: Nani alaumiwe?

    Kama wazee wanapima vijana kwa kipimo walichopimiwa wao then kiwango kimeshuka, kama vijana wanaopata elimu wanaona wenyewe kuwa inawasaidia then hakijashuka. Japo si mzee wala kijana najua kuwa watu wanakuwa wabinafsi zaidi kadiri siku zinavyoendelea. Asipotokea mtu wa kureverse hii (hopefully...
  8. N

    Dhana ya "kujenga uchumi"

    Eti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia. Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa kusimamia vizuri rasilimali zake. Baada ya hapo biashara inakuja tu bila kupenda. Mfano China ni...
Back
Top Bottom