Search results

  1. N

    Nmb nmb nmb

    Ata mimi ni muhanga wa suala hili na pia sijapata taarifa yeyote kama watu wameitwa kwenye usaili au bado. Ngoja tusubiri watatujuza wenye taarifa na jambo hili hapa.
  2. N

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Na je kama ni fresh from school kwa form 6 katika phase ya ukuruti unachukua week au miezi mingapi kumaliza phase hiyo? Kwingineko nimekuelewa sana
  3. N

    Mbunge wa Bukoba Vijijini: Wanaohoji ahadi zangu hawana akili!

    Kuna haja kuwepo na kipengele cha wananchi kumvua madaraka kikatiba mtu yeyote yule endapo atakwenda tofauti na alichoahidi, hayo sio maneno ya kuzungumza kwa mwakilishi wa wananchi kwa wapiga kura wake
  4. N

    Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Mbona watanzania tunapenda kuonana hatuna akili hivi kukaa kwanye bajaji na kupiga picha ndo kua anatembelea? Mbona hua hatumuoni nayo Dodoma
  5. N

    Nafasi za kazi udom

    Asante kwa taarifa mkuu
  6. N

    Usaili zima moto!

    Ni mzuka ka zikitoka nkiziona ntakushtua ari4!
  7. N

    Hello

    Kma cjakose huyu ni papaa asee dead line kwa hpa chuon kwe2 tumeambiwa tar 29 mwez huu man!
Back
Top Bottom