Search results

  1. Emma.

    Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe. Updates ...
  2. Emma.

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro...
  3. Emma.

    Jaji Mutungi amuonya Maalim Seif

    Jaji Mutungi amuonya Maalim Seif Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi amemuonya Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharrif Hamad kuacha kuvuruga chama cha CUF kwa maslahi yake. Akizungumza kwa njia ya simu Jaji Mutungi amesema uamuzi alioutoa kuhusu CUF ulikuwa muafaka na laiti...
  4. Emma.

    Siku ya leo alizaliwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mungu ampe maisha marefu

    Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake. Hongera sana mbunge wetu Godbless J Lema tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu...
  5. Emma.

    Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi

    Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi. Tarehe Kama ya leo mwaka Jana, ilikuwa siku muhimu sana kwa watanzania na Mimi binafsi.Niliwaongoza watanzania kupiga kura nikiwa mgombea wa upinzani. Naamini nilileta sura na msisimko mpya katika siasa za Tanzania.Nilishirikiana na wenzangu...
  6. Emma.

    Kamati Kuu ya CUF nayo yakutana leo kama ya CHADEMA

    Kamati Kuu ya CUF nayo yakutana leo kama ya Chadema Kamati ya Utendaji ya Taifa ya The Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) inakutana leo, Jumamosi tarehe 22 Oktoba, 2016 chini ya uenyekiti wa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, katika ukumbi wa ofisi za chama Vuga, mjini...
  7. Emma.

    Uchaguzi wa Meya Kinondoni na Meya Ubungo utafanyika kesho tar 23/10/2016

    Uchaguzi wa Mayor Kinondoni na Mayor Ubungo utafanyika kesho tar.23/10/2016. Nitumie fursa hii kuwatakia kila la heri wagombea wa UKAWA, Boniface Jacob anayegombea Umeya manispaa mpya ya Ubungo, na Mustapha Muro anayegombea Umeya Manispaa ya Kinondoni. Habari njema ni kwamba UKAWA tunaongoza...
  8. Emma.

    Hatima kesi ya Ole Nangole Jumatatu , Hukumu ya rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa Longido kutolewa .

    Hatima kesi ya Ole Nangole Jumatatu . Arusha. Hukumu ya rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa Longido, Onesmo Ole Nangole kupinga hukumu ya Mahakama Kuu kumvua ubunge inatarajiwa kutolewa Jumatatu ijayo. Hukumu hiyo inayosubiriwa kwa hamu mkoani hapa, inataraji kutolewa na jopo la majaji; Sauda Mjasiri...
  9. Emma.

    MAONI YA MHARIRI: Siasa hizi Arusha hazina tija kwa wananchi, Taifa Kiini cha mvutano huo ambao .

    MAONI YA MHARIRI: Siasa hizi Arusha hazina tija kwa wananchi, Taifa Kiini cha mvutano huo ambao sisi tunaamini ni wa kujitakia, ni sintofahamu iliyojitokeza Oktoba 18 wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa hospitali ya kinamama na watoto, mradi unaoelezwa kugharimu Sh9 bilioni Tangu juzi kumekuwapo...
  10. Emma.

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Hakuna siku nimejisikia uchungu mkubwa kama jana, kwasababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto, na nimeshiriki katika hatua mbalimbali za ujenzi wa maono haya. Lema alikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu, na aliitangaza hadharani katika kampeni zake na CCM walimdharau na...
  11. Emma.

    Katibu Mkuu CHADEMA Dr.Vicent alaani tukio la Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kuvuruga uwekaji wa jiwe

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuvuruga sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya huduma za mama na mtoto. Si tu kwamba ameonyesha kukosa staha kwenye jamii, pia ameonyesha kutounga mkono mahitaji ya nchi na dunia nzima "hasa kwa mahitaji ya akina mama na...
  12. Emma.

    Joseph Butiku: Chama changu CCM ndio gwiji wa rushwa nchini, sioni aibu kusema

    Wana JF ."Mimi chama changu CCM ndio gwiji wa rushwa nchini na sioni aibu kusema"- Joseph Butiku #KamaSioNyerere #My take =Nimpongeza sana Mzee wa busara Joseph Butiku kwa kuweza kusema ukweli ambao viongozi wengi wa CCM wameshindwa kuongea.
  13. Emma.

    Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema

    Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kwa kushirikiana madiwani pamoja viongozi waandamizi wa chadema wamefanya mkutano mkubwa wa kuongea na wananchi Mkutano wa Mbunge Lema leo Kata ya Kati kuzungumzia Maendeleo.. Mkuu wa ITIFAKI alikuwa Katibu wa Mbunge, Mh Innocent Kisanyage...
  14. Emma.

    Rufaa ya Ole Nangole kunguruma kuanzia kesho

    Rufaa ya Nangole kunguruma kuanzia kesho Rufaa ya kupinga uamuzi wa mahakama Kuu ya Arusha kumvua ubunge wa Longido, Onesmo Ole Nangole inatarajiwa kusikilizwa kesho tarehe 13 na tarehe 14. Majaji wa mahakama ya rufaa wanaotarajiwa kuisikiliza ni Sauda Mjasiri,Ibrahim Juma na Mussa Kipenka...
  15. Emma.

    Serikali yajikanyaga yenyewe

    Heshima kwenu wana JF. Serikali yajikanyaga yenyewe Waziri Ummy amekanusha taarifa zilizokuwa zimeenea kwamba kuna uhaba wa dawa za binadamu na kusisitiza kuwa, zipo nyingi na zinaendelea kuingia nchini. Pia, Waziri huyo alithibitisha kuwapo vifaa tiba vya kutosha na kwamba, chanjo za watoto...
  16. Emma.

    Michango na misaada ambayo imetolewa kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera itapelekwa lini?

    Wana JF, Baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi kubwa la ardhi na kuleta madhara ikiwepo watu kupoteza ndugu zao na wananchi wengi kukosa mahali pa kulala pamoja huduma nyingine kutoka madhara ya tetemeko hilo. Wafanyabiashara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wametoa misaada mbalimbali kwa...
  17. Emma.

    Michango na misaada ambayo imetolewa kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera itapelekwa lini?

    Wana JF. Baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi kubwa la ardhi na kuleta madhara ikiwepo watu kupoteza ndugu zao na wananchi wengi kukosa mahali pa kulala pamoja huduma nyingine kutoka madhara ya tetemeko hilo. Wafanyabiashara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wametoa misaada mbalimbali kwa...
  18. Emma.

    Katibu Mkuu Maalim Seif akiwa ofisini kwake makao makuu ya CUF Zanzibar

    Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif akiwa ofisini kwake Makao Makuu ya CUF Zanzibar leo.Akiendelea na majukumu yake kukijenga Chama hicho.
  19. Emma.

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Mtatiro pamoja na wabunge wa CUF kuongea na waandishi wa habari

    Wana JF, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF Taifa Mhe Julias Mtatiro pamoja na wabunge wa CUF watafanya mkutano na waandishi wa habari leo(press conference) kuhusiana na hujuma zinaendelea kufanywa na Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi dhidi ya Chama cha CUF. Mkutano huo...
Back
Top Bottom