Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo, Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Kwamba pamoja tuhuma zote ameachiwa huru .Bado ataendelea kuwepo magereza kwa sababu ana kesi...
Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Updates ...
Jaji: Washtakiwa Wote Waliposimamishwa Mbele ya Mahakama Walikana Makosa, Mbele lya Kaka Yangu Jaji Siyani (Jaji Kiongozi Walikana Mashtaka yao, Walikubali Tu Maelezo Yao ya Particulars). Walikubali Kuwa Waliwahi Kufanya Kazi Katika Kambi ya Ngerengere.
Jaji kama ambavyo Mawakili Wame zungumza Kwamba Shauri lipo Mahakamani Kwa ajili ya Uamuzi Mdogo.. Na Uamuzi huu Mdogo upo tayari, Nafanya Chini ya Kifungu cha 41 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi, Sura ya 200, Ikitaka Kujibu Kama Washtakiwa Wana la Kujibu au Hapana
Huku ni kuhalalisha mauaji kwa kutumia sheria. Polisi wanaoua kila siku leo wanataka kupewa kinga na Bunge letu. Aise tukatae, hata kama hatuko bungeni, tupazeni sauti. Maanake yalipomkamata Mbowe yangeweza kufanya lolote alimradi hii sheria inawalinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.