Search results

  1. A

    Tanzania civil aviation authority imesajiliwa na nacte?

    naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo hicho kozi ya flight operating officer je chuo kimesajiliwa na kama bado ni chuo gani kingine kinatoa kozi kama hiyo Tanzania
  2. A

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    chonka walihaka tinkakibonaga eki ne enshoni chei?
  3. A

    Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

    kwa nchi yetu ilivyosasa hilo linawezekana kusemwa ili kuuficha ukweli mi sishangai sana serikali ya sasa ni yaajabu sana lkn ikumbuke watanzania wa sasa sio wa enzi zile za ukoloni watumwa mia wanasimamiwa na nyampara mmoja juzi nilisoma gazeti linasema kuna njama ambayo ilipangwa kuwatoa...
  4. A

    Ufafanuzi kuhus fao la kujitoa mifuko ya jamii ushahidi huu hapa

    mimi hapo cjawaelewa kabisa naona wanataka kuibia tu wao hizo hela wanakaa nazo muda mrefu na kuzifanyia miradi ambayo sisi wafanyakazi hatuna faida nayo kwanza hiyo mikopo ya nyumba inacomplications kibao wamiwekea conditions ngumu oo uwe na hati miliki ya kiwanja hiyo hati kuja kuipata mbinde...
  5. A

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    mimi kero yangu ni ktk kujiendela kielimu upande wa nursing km mtu ana certificate anataka kusoma diploma anaangaliwa ufaulu wake wa fm 4 je hii inahaja gani kwanini yasiangaliwematokeyake ya mwisho wakati anamaliza masomo ya nursing certificate kweli wizara inatukwaza kwa hilo itafanya watu...
  6. A

    hellow

    poleni wazanzibar kwa kupoteza ndugu zenu mungu awape moyo wa subira
Back
Top Bottom