Search results

  1. N

    Madaktari wamjibu Antony Lusekelo...

    Asiyejua maana haambiwi maana, na hata akiambiwa inaweza isimsaidie kutokana na uelewa wake wa kuchaganua mambo. Iwe ni Madaktari wana makosa au la, LIWALO NA LIWE.
  2. N

    Kova umebebeshwa mzigo... huna jinsi!!

    Mmmh, kila kazi ina raha na karaha. Hilo lililompata Kova ndiyo karaha ya askari kutumiwa vibaya na serikali, na hasa kwa askari wenye vimbelembele kama yeye. Mbona askali wapo wengi kwa nini atumiwe yeye? ni kwa sababu ya kimbelembele chake amependa kutumiwa. Na Mungu aliyemtoa Dr Uli...
  3. N

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mkuu nashukuru umenielimisha vizuri sana. I really appreciate. I wish i could have gone through these sheria and kanuni long time ago!
  4. N

    Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

    Mmmh! Mwisho wa ubaya ni aibu. Mungu hawezi kumuacha Msangi aangamize roho za watu wote bila yeye kuangamia. Akae akijua kuwa vyovyote vile ilivyo upanga wa Mungu uko pamoja naye na ni mkali kuliko wa mwanadamu. Kifo cha mSangi kitakuwa kibaya mno, kila mtu atashuhudia. Kama wakubwa wake...
  5. N

    Lowassa akiwa Rais...

    Ama kweli ukustaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kwani CCM mmeishiwa na watu wa maana hadi mkalambe matapishi? Kwani kilichomuondoa EL madarakani hamkumbuki? kwani alisingiziwa? Mnafikiri atabadilika nini? kwa nini mnapenda kujuta maisha yenu yote? Ama kweli mmetawaliwa na Freemason!Shetani...
  6. N

    Vihiyo Wauguzi 800 kumwagwa ndani ya Sekta ya Afya

    Watu wanaosadikika kuwa walichukua mafunzo ya Uuguzi kwa njia ya 'distance Education', ambao hata kusoma kwao hakueleweki, inasemekana waliingizwa muda usiojulikana katika mafunzo hayo na kusajiliwa kituo cha mafunzo hayo kilichoko Morogoro. Watu hawa hapo awali hoja yao ilitupiliwa mbali na...
  7. N

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Wewe huwezi kujifananisha na Dk yeyote. Kaa kimya DHAIFU wewe. Wewe ndiye mjinga maana hujui kinachoendelea. Huyo shetani mnayemuamini sasa anakaribia kuwafikisha ukingoni. Lakini mtafikishwa huko baada ya misukosuko mingi yenye mateso na taabu. Kama sasa mna siku kadhaa hamlali, na hata...
  8. N

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Shindwa kabisa. Ipo siku kitaeleweka. Kwani UN ni nani? ukijua nani ni UN utapata jibu kwa nini wamekataa. Hawawezi kuwa-support watu ambao wanaleta changamoto kwa serikali ambayo inawalinda wanapohamisha mali za nchi hii, elewa hilo. Uko wapi, amka.
  9. N

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Asante Yesu Kristo wa Nazareti uliye hai. Unastahili kuabudiwa na kushukuriwa. Endelea baba kumkumbatia Dr. Uli tuje kuonana naye tena akiwa mwenye afya njema. Shetani amejinyea. Hana mamlaka kabisa kwa watu wa Mungu. Laiti wafuasi wake - Serikali wangejua maana ya jina la Ulimboka wasicheza...
  10. N

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Usitake kupotezea, ya Dkt Ulimboka serikali haikwepi hata iende wapi. Mmezoea kudanganya watu wazima kama watoto wadogo, kwa hili mmeumbuka na mtakufa nalo. Kumbuka kuwa mnaongoza watu wenye akili kuliko zenu, hamuongozi mizoga. Hivyo jipangeni sawa sawa. Pole kwa UDHAIFU:israel: :israel: NA...
  11. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Achana nao hao ni vipofu. Toka lini kipofu akaona? hata ukimulika taa machoni, ni kazi bure.
  12. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Mbona wewe ni mchukua rushwa namba moja? mimi nakufahamu. Kama kweli unapiga vita rushwa, mbona huongelei chenji la rada? uliipeleka wewe hiyo pesa uingereza? hata wanafiki wenzako walioko bungeni wanajifanya wanajua kusema ukweli, ingekuwa wanasema ukweli, mbona ya rada hawaongelei, cha...
  13. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Majebere ni njago wa miaka mingi wala usimshangae. Achana naye.
  14. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Hao wanaotibiwa wote wanatibiwa malaria tu? utaponzwa na mdomo wako mwenyewe. Utaumwa utawakuta haohao, wala hutapelekwa india. Unawafagilia mafisadi, utakoma.
  15. N

    Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

    Kama ulikuwepo, ndio huyohuyo. Jambazi na muuaji Namba 1. Angoje moto wake hapa duniani na kesho akiandamana na shetani kwenda kwenye bwawa la moto.
  16. N

    Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

    Mfa maji haishi kutapatapa. Wewe ndio uliyekurupuka. Wapinzani hawana akili iliyolala kama ninyi. Mbona hoja zao ndio mnazozifania kazi kila kukicha. Mmeishiwa, Rais wenu amelala usingizi wa kukororma, atakapoamka hayupo kwenye kiti cha enzi. Hilo la Madakatari litamtoa bila kutaraji. Anavaa...
  17. N

    Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

    Pole Poyoyo. Umeumia eeeh!!!
  18. N

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Umeongea vizuri sana comrade. Jamaa mambo yote yanayoongelewa, yaelekea yuko usingizini. Hospitali hatupigi ramli wa hatutumii miti shamba kuweza kutibu watu, kama vitendea kazi tunavyotumia kutibu watu havipo, acha tumpeleke mwenzetu ambako vifaa viko. Nyie endeleeni kuibeba serikali...
  19. N

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Nafarijika sana kusikia hivyo. Bwana Yesu Kristo muweza yote amtangulie katika safari yake na tiba yake yote iongozwe naye. Amen. Lakini, amekwenda na nani? maana yangu ni Daktari, anahitaji ukaribu wa aina hiyo vile vile mbali ya mwanafamilia. Majamaa yanaweza kutinga hata huko. maana...
  20. N

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Aliyelala usimuamshe ukimwamsha utalala wewe!! Asiyejua maana haambiwi maana. Endelea kulala usingizi!!!
Back
Top Bottom