Search results

  1. P

    ipad for sale

    imebaki ipad 2 na ipad 4 32gb mpya 900,000 kwa sasa! asante kwa wale tuliofanya biashara,karibuni.mzigo mpya unaingia ijumaa, check me for more details.
  2. P

    Natafuta mwanamke age 20 to 50years

    usimuulize miaka, anaweza kukuambia umri wake kati ya miaka 15 mpaka 55, haha! chezea wazee wa big range wewe
  3. P

    NATAFITI soko la PS4 na XBOX1

    kaka ebu leta izo makitu huyu unayeongea naye hajui chochote, bei zake ata ps3 hupati, ps4 siyo chini ya milioni kwa sasa apa bongo. ni p.m tuongee biashara
  4. P

    Natafuta mwanamke age 20 to 50years

    duh kweli dunia ina vituko,hiyo range yako imenfuraisha, yani kwa 20 yrs au 50yrs yote sawa tu,haha
  5. P

    Nauza carina ed 5.3mil

    acha masihara mkuu,weka picha ya sasa, mambo gani haya unaweka picha sijui umeidownload wapi
  6. P

    Matokeo ya Valentine yametoka leo

    mkuu umenena vyema, mleta mada yupo sahihi,Sample zinajitegemea.mfano waliotumia neno i love you 98% ina maana 2% hawakutumia,kumbuka mtu anaweza kua kwenye kundi la 98% na pia kwenye kundi la kuvunja kitanda au lingine tena. mathematics is a slow process,wapeni mda wataelewa tu
  7. P

    ipad for sale

    wakuu nauza IPAD 2 16GB WI-FI AND 3G. Black in colour,used for one month only, bado mpya haina any stratch price 500,000. haipungui!unapata charger yake and a plastic case cover. IPAD 3 64GB WI-FI AND 3G. Black, brand new in a box 900,000/= IPAD 4 64GB WI-FI AND 3G/4G. black brand...
  8. P

    A true "joke"!

    why dont you just laugh and put aside the critism, this is jokes and not politics forum,u seem like you need to get a life
  9. P

    Orodha ya wanawake wenye kupagawisha wanaume wengi zaidi DUNIANI

    mkuu umebugi, labda ubadilishe kichwa cha habari, otherwise i would expect to see kina LISA ANN, ALEXIS TEXAS,SOPHIE DEE,ABELLA ANDERSON and likes way top on your list, coming to sexual attractivenes they got the 'PACKAGES' and NERVES
  10. P

    Simuelewi mpenzi wangu

    kwanini unachunguza simu yake? DONT LOOK FOR ANYTHING YOU CANT HANDLE
  11. P

    Naombeni ushauri wasichana na wanawake wananisumbua sana

    tangazo zuri,ngoja wale wa 0713 waje! mapunga bana, mwanaume unaandika post ndefu kama hii MAIN THING eti we mzuri
  12. P

    Namsaidiaje?

    umetumia laptop ya mshkaji?
  13. P

    Pacha wangu mcharuko

    mnafungua lini shule?
  14. P

    Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    tafuta mwingine uanze upya, au upo tayari kumuoa mtu ambaye ushajua sio mwaminifu,la swala la mtoto wa kidume mwenzako lazima litaleta shida uko mbele
  15. P

    New samsung Galaxy S2 FOR SALE!!

    mkuu s2 dukani laki 3 na nusu, inaonekana hujatembelea maduka mda mrefu.
  16. P

    Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    haya ndo matatizo ya mtoto wa kiume kupumuliwa mgongoni, huna ata aibu ya utaifa wako
  17. P

    Simulizi Fupi: Msiba ulivyomuumbua Sista Duu!

    duh kweli aisee,story haina mpangilio
  18. P

    Haya Wakuu Mwenyye Laki 4 Sumsung Galaxy S II

    hahaha s2 laki 4 imepasuka kioo?
Back
Top Bottom