Search results

  1. Wachovu

    Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    Arudi tuhesabu matundu ya risasi sio kutueleza uongo kumbe ana tundu mbili tu
  2. Wachovu

    Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    Huyu jamaa ni kanjanja kweli , taratibu zinajulikana kwa mtu mwenye akili timamu, unapougua unatoa riport hata kama umeugulia kazini kwako na ni riport ya maandishi. Huyu kanjanja ana mwanasheria wake mbona hamwagizi kwenda kutoa riport Bungeni kuwa bwana Lisu bado ngonjwa ? Lakini naelewa kwa...
  3. Wachovu

    Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    Wacha ujiga wako , unapata muda wa kuzunguka dunia ukiporomosha matusi na kejeli na kuombea nchi yako balaa , unakosa muda kujaza form ya mali zako , hata kueleza Spika tiba yako inaendeleaje. Kila siku unatwambia utawala wa sheria mbona wewe hutii sheria . Mgonjwa gani anazunguka huku na kule...
  4. Wachovu

    Bungeni Dodoma: Spika wa Bunge Job Ndugai, amvua Ubunge Tundu Lissu(CHADEMA) Mbunge wa Singida Mashariki kwa kosa la utoro

    Kwani sheria zinasemaje ? Nyumbu bwana wakati mwingine hawaeleweki , watu kila siku tunaimba utawala wa sheria lakini magwiji wa sheria hawataki kufuata sheria. Mtu anapata muda wa kuzunguka dunia akiporomosha matusi lakini anakosa muda wa nusu saa kujaza formu za mali alizonazo
  5. Wachovu

    Hii barua ya Bunge kwa umma kuhusu matibabu ya Lissu. Vipi Bunge liseme halijui Lissu alipo?

    Mtu utauguaje miaka kibao , ukitoka unaenda kutukana alafu unarudi kitandani kuuguza nini . Lissu ni fix tu kapona zamani si hajabu hata matundu ya risasi hana
  6. Wachovu

    Mkakati wa kuwafanya watumishi watumie TTCL unaweza kuua sekta binafsi za fedha na mawasiliano nchini

    Watumishi wa serikali anaosema ni wanaopata vocha za bure za kutumia kurahisisha mawasiliano . Kwa nini Serikali ikupe vocha bure na wewe utumie mtandao binafsi badala ya mtandao wa serikali ? Hongera Magufuri kwa kubana vizuri pesa zetu
  7. Wachovu

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Paskali mbona watanzania mnajifanya wanyonge kihivyo mm sikuelewi , mwenye mawe ni nani ? Tanzania ndio matajiri wenyewe hawa wengine ni vibarua tu , acha wajitutumue sisi ndio wenye mali acha migodi yetu tuifunge watakuja kuchimba vitukuu vyetu . Kwani uchumi wetu hauwezi kujiendesha bila...
  8. Wachovu

    Wakati Magufuli anaahidi tulisema ahadi ni nyingi sasa tunasema anazindua sana!

    Wewe akili zako maji matupu , Ukuta wenyewe unalinda mali za mabilioni bado unaangalia ukuta kama ukuta wa Kyadema
  9. Wachovu

    Nape Nnauye: Tusipojifunza Siasa za Kuvumiliana, Tanzania litakuwa taifa la ovyo

    Anaongea vizuri unaona raha Rais akitukanwa eeeh ?
  10. Wachovu

    Sakata la mitumba: Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda. Tanzania, Kenya na Uganda kufuata

    Si unajua tena waswahili wanavyopenda kulamba miguu ya wazungu mnaona fahari kuvaa chupi za wazungu ? mnajipaka mikorogo muwafanane , nywele za waliokufa kwao nyie ndio fasheni
  11. Wachovu

    Sakata la mitumba: Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda. Tanzania, Kenya na Uganda kufuata

    Wee kumbe hujui nyumbu wameisha migrate mpaka kwa Trump , hama humjui yule dada msemaji mkuu wa Chama
  12. Wachovu

    Sakata la mitumba: Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda. Tanzania, Kenya na Uganda kufuata

    tunapigana vita sababu ya mitumba ? nchi hii nani kairoga ?
  13. Wachovu

    Sakata la mitumba: Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda. Tanzania, Kenya na Uganda kufuata

    Hao Chadema wameisha pewa pesa na Trump watukane Rais wetu sababu ya kukataza mitumba Vita vya kiuchumi ni vikubwa , Magufuri tukuombee sana maana wataweka vikwazo sababu tumekataza michupi iliyo isha valiwa na hawa majambazi kuletwa kwetu
  14. Wachovu

    Rev. Dr Muhoza: Maaskofu na Mapadre wa katoliki wana wajibu wa kukemea maovu ila hawaruhusiwi kuwa wanasiasa

    Na sisi tuwakemee mapadri mnatuchukulia mademu wetu . Kwa nini msioe wake zenu ? mnataka kula kiulaini hamtaki kutunza
  15. Wachovu

    Nape Nnauye: Tusipojifunza Siasa za Kuvumiliana, Tanzania litakuwa taifa la ovyo

    Wengine wanaona raha kumtukana Rais , huu uvumilivu hatuupendi . Rais ni nembo ya nchi sasa mnaotaka Rais aonekane kama takataka wengine hatupendi , na sisi mtuvumilie tunaposema si adabu kumtukana Rais
  16. Wachovu

    Mradi wa treni ya kisasa: Tanzania tuna somo kubwa la kujifunza kutoka kwa wenzetu hawa

    CCM haiwezi kujifunza kitu kutoka kwa NYUMBU
  17. Wachovu

    Huu ndio ukweli juu ya kuchafuliwa kwa Rais Magufuli na hili gazeti

    hiv Ni vitu vidogo sana hivi
  18. Wachovu

    Huu ndio ukweli juu ya kuchafuliwa kwa Rais Magufuli na hili gazeti

    Si Magufuri tu mm nawachukia wapinzani mpk basi . Ningekuwa na sumu ya panya ningewapulizia
  19. Wachovu

    Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Kama nchi ina umri wa miaka 50 kwani Magufuri alikuwa anatawala kipindi chote hiki ? Wacha na yy ajaribu vision yake ikifeli itakuwa sawa kama wengine walivyo feli. Nakuombea umalize kipindi chako cha miaka 10 mheshimiwa Rais tene uwe jiwe kweli kweli > Wakongoli wanaoingia kwenye njia yako ya...
Back
Top Bottom