Search results

  1. Meljons

    Nahitaji kuagiza simu online Kenya kama ulishawahi nipe connection

    Habari za muda huu. Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu. Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako unipe huyo muuzaji wako ninunue kwake nisijetapeliwa, kuna wauzaji wa insta niliwaona ndio...
  2. Meljons

    Ushauri kwa waliojifungua kwa operation.

    Salaam wanajamvi. Nilijifungua kwa operation wiki4 zilizopita (ya mlalo chini) ila mpaka leo bado hapajafunga japo hapaumi, wiki hii kuna sehemu palikuwa panatoa maji kidogo sana ila tangu jana hayatoki... Najiuliza pia niliambiwa nioge maji mwili wote tangu siku ya 9, labda ndo sababu ya...
  3. Meljons

    Shree Hindu Hospital Arusha huyu nesi anawatia doa

    Habari za muda huu ndugu wasomaji. Bila shaka hii taarifa inaweza kumfikia mlengwa akabadilika au hospital husika. Hospitali hii ni nzuri ina huduma nzuri sana kuanzia mapokezi,maabara, phamacy na kwa madaktari wake wana huduma nzuri sana ila sasa Kuna huyu nesi yupo upande wa clinic ya kina...
  4. Meljons

    Ni halali mbunge kwenda masomoni nje nchi na kuacha jimbo lake?

    Habari wanajukwaa hili? Napenda kuuliza je ni halali mbunge aende kusoma nje ya nchi kipindi cha ubunge wake na kuacha jimbo lake bila utendaji wake kama alivyoaminiwa na wapiga kura wake? Specifically nilimaanisha Joshua Nassari.. nilipita jimboni huko majuzi barabara hazifai, kuuliza...
  5. Meljons

    Nahitaji net(ya mbu) nzuri za kitanda

    kama heading ilivyo, wapi naweza kupata net nzuri hizi za kisasa, kwa mfano kuna moja niliona mwaka juzi ya kushusha kwa kuvuta kamba. na je ni bei gani? Nimechoka hizi za kawaida. Nipo Arusha.
  6. Meljons

    Epidural Anesthesia: njia ya kisasa kujifungua bila maumivu

    Niliiskia hii habari mwaka huu kwamba unaweza kujifungua bila uchungu tena ukiwa unaangalia TV au hata ukisoma gazeti kwa hii process ya epidural. Ila pia nasikia ni gharama sana kwa wale wenye nazo ndo watapata hii bahati. Pia naskia hapa bongo ipo Mikocheni hospital. Swali langu ni...
  7. Meljons

    Foleni ya magari Arusha

    Ni zaidi ya masaa matatu sasa usafiri umekuwa shida kutokana na jam kubwa inayosababishwa na mkutano wa maraisi wa EAC hapa AICC. safari zote za moshi arusha ni shida.arusha mjini to ngulelo wengi wanatembea kwa miguu au bodaboda
  8. Meljons

    Geor Davie kwenye Sibuka tv

    naangalia alivyofika shorprite Arusha kwa helcopter na kutandikiwa red carpet....
  9. Meljons

    New threat to ozone layer identified

    New threat to ozone layer identified March 9, 2014 21:09 By Matt McGrath Environment correspondent, BBC News Dealing with the hole in the ozone layer has been one of the most successful international science projects Scientists have identified four new man-made gases that are contributing...
  10. Meljons

    Harusi ya Yvona Kamuntu na Raymond Nyamwihula - Citizen tv

    Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen telkevision ya Kenya. Wamependeza sana
  11. Meljons

    Dr. Olsen sec school ipo vp kwa science A-level?

    Naombeni anayeifaham hii shule ikoje kama inafaa kwa science, ipo Mbulu, mdogo wangu amepangwa hapo kwa combination ya CBG. Kama kwa science hawapaform tumshauri tu akapige arts.
  12. Meljons

    Baba bahili

    Baba bahili kwa hela ni noma Mtoto: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka..kaninyoa kipara.. Mama: Una bahati mwanangu ungemuomba whitedent angekung'oa meno yote. Mtoto: Duh! Je nikimuomba hela ya ALWAYS si atanipa mimba kabisa nisiingie blid!
  13. Meljons

    Cheka kidogo hapa

    Walikutana madoctor wa China,Ujerumani,Tz,. kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi Zao. Dr wa Ujerumani akasema "kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali 3 za dhahabu". Dr wa China akasema sisi kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea ya...
  14. Meljons

    Zipi ni athari za kutengeneza juice na kuhifadhi kwenye freezer?

    Habari wana jf! Naomba kama kuna anayefaham madhara ya kuhifadhi juice kwenye freezer, maana nina mazoea ya kutengeneza juice then naweka kwenye freezer natumia hata siku tatu. Ila leo jirani yangu kaniambia hiyo juice inakuwa haina tena kazi, japo hajui inakuwaje kwani naye alisikia tu kwa watu.
  15. Meljons

    Nimepata ajira mpya(ualimu) ila wamekataa kunilipa kisa nilishawah kuajiriwa na kuacha kazi

    Wanajukwaa mambo yamekuwa ovyo sielewi cha kufanya,nilipata ajira mpya hz za juzi za ualimu,nina shahada. Sasa juzi wakati wa kupokea hela ya kujikimu nikakuta jina langu halipo kwenye list ya kulipwa hela. Afsa utumishi akaniambia hawatanipa na hawatanishuhulikia chochote maana nilishawah...
  16. Meljons

    Natafuta nyumba-self ya kupanga arusha

    Wapendwa wangu wa arusha nisaidieni kupata nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya kwa mrefu mpaka mianzini. Iwe na bedroom 2,kitchen na toilet, na pia bei kuanzi laki na nusu hadi laki 2. Pia yenye geti kwa ajili ya usalama.
  17. Meljons

    Wana JF wa arusha nisaidieni

    plz wapi naweza kupata nafasi ya kazi shule ya sec private kwa mwalimu wa biology mwenye bachelor.
  18. Meljons

    Hello

    Can I cooperate with u ? im new member!
Back
Top Bottom