Search results

  1. Meljons

    Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Tupe mrejesho nategemea kujiunga very soon mwaka huu. Nataka nijiunge mfuko wa kujikimu.
  2. Meljons

    Vifo vya watoto wa shule Arusha: Mabasi ya shule yapewe vipaumbele barabarani

    Hv kwanza mnamjua tajiri/bosi mmiliki wa shule? Hii kesi ya dereva itapotea tu kimya maisha yanaendelea.
  3. Meljons

    Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

    Vp huyo muhindi na kiduku nani zaidi?
  4. Meljons

    INSIDER MAN, MAN OF THE MOMENT!!!

    naomba link ya hiyo story please
  5. Meljons

    Msaada wa kuondoa tattoo

    Kuchora tattoo ni maamuzi yanayohitajo akili kubwa sio mihemko maana majuto yake ni mengi. Otherwise waachie wenzetu wa majuu huko ni kawaida
  6. Meljons

    Je, vijana mmesahau hukumu ya kuchoma mali ni miaka thelathini au kifungo cha maisha jela?

    Kama ulishasikia kuuza mbuzi na kupeleka mbuzi shule ndo wewe sasa. Baada ya kuchoma basi huyo marehemu wako amefufuka? Kwann msingemuatack dereva wa basi? Ndani ya mwezi huu wa kwanza ty kuna watoto wawili wa miaka 9 na wa miaka 3 wamegongwa na boda mtaanj hapa wakafariki, mmoja amezikwa jana...
  7. Meljons

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Khaaa nimemaliza kusoma ila umenikera sana kwa jinsi unavyopenda kupitiliza.. huyu Mercy mwambie tu ukweli kwamba huwezi kumuoa maana nakuona tu unavyomuoa mercy. Pia Mercy akipata bwana mwenye pesa ndefu atapita naye. Tungeweza kuwashauri watoto wetu huko vyuoni wangefanya mapenzi kuwa ya ziada...
  8. Meljons

    Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

    Hv huyo aneth hakuwa na mpenzi/mume/mzazi mwenzake? Najiuliza maswali yasiyo na majibu
  9. Meljons

    Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

    Yaani ndivyo wanaume wajifunze tu kuelewa kwamba wanavyotafuta oa kujipoozea nje, hao hao wa nje ndo wake za watu... hivyo msishtuke.
  10. Meljons

    Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Kwa kile kilichotokea pale na tylioshuhudia ni madhara makubwa na vifo ni zaidi ya wanavyosema vyombo vya habari, naona serikali imeficha uhalisia wa hii habari na madhara yake.
  11. Meljons

    Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Scania ilikuwa imebeba scaveter/buldozer (sjui kama inaandikwa hv) yale ya kutengeneza barabara.. kwa hiyo uzito wa scania ulikuwa mkubwa sana.labda nayo imechangia madhara kuwa makubwa.
  12. Meljons

    Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

    Hawashei majukumu common ya familia. Mnachozungumzia nyie mkikutana ni ngono na furaha tu. Mkikaa pamoja lazima mtakerana tu, so endeleeni kufurahiana nje ya ndoa tu.
  13. Meljons

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mbwe mbwe bien ft aron rimbui.. Naomba huu wimbo audio pls
  14. Meljons

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Miaka 29 kwa 32 hakuna kesi hapo ni makubaliano. Hawa ni wapenzi. Ameigiza kuumia kisa kaka yake amejua
  15. Meljons

    Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

    Kumbe angelico ni international siku hizi
  16. Meljons

    Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Kaa na mwanao nyumbani umfundishe usimpeleke kwa hao waalimu unaowadharau. Maana nawe akili zako na mtoa post ni mapacha. Mna chuki na waalimu kwa sababu ya ujinga wenu mnaoujua. Tafuteni hela mtulize akili maana pia umaskini unawaharibu akili.
Back
Top Bottom