Search results

  1. K

    Jamaa na bajaji yake

    Kuna jamaa alipata ajali mbaya sana kwa bahati nzuri hakufa sema bajaji ilimbana kwenye mti na kumfanya azimie.Watu walikuwa wanapita bila kumpa msaada unajua kilichomponza ni nini?Kwenye bajaji yake kwa nyuma aliandika hivi "NIACHENI KAMA NILIVYO HAYA NDIO MAISHA YANGU"
  2. K

    Usiombe ikutokee

    Nitafute ntakusimulia kwa mdomo na kama usipoelewa tena nitamwita mwalimu akueleweshe na kama utakuwa haujaelewa tena nitakuonyesha video yake na kama itakuwa haujaelewa tena nitakuandikia kwa lugha nyingine ikiwa haujelewa tena geuza screen usome upya na kama hapo haujaelewa usisome tena
  3. K

    Misemo ya Mpoki jamani!

    Shuka huwa halina mifuko
  4. K

    Usiombe ikutokee

    ahsante karibu tena
  5. K

    Usiombe ikutokee

    sina muda wote huo wa kupitia samahani kama ni ya kwako
  6. K

    Usiombe ikutokee

    ila kuna mwenzako amecheka nimejaribu tena
  7. K

    Usiombe ikutokee

    Jamaa karudi toka safari kwa kuwa alikuwa na hamu sana alipofika nyumbani akaelekea mpaka chumbani kwake...mara akashtuka kukuta watu wawili wamelala(mwanamke na mwanaume) na sio mmoja kama alivyozoea mara akapandwa na hasira akachukua rungu na kuanza kuipiga ile miguu na kurudi tena...
  8. K

    MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe)

    sina muda mwingi hapa tangu niwe member
  9. K

    Maongezi ya kijana aliyeandika verse za BONGO FLAVOR necta form 4 mwaka jana...

    Tusimhukumu tatizo mfumo wa elimu wa nchi hii una mapungufu yaani hauendani kabisa na hali ya wanatanzania embu angalia katika somo la History 2 kidato cha tano na cha sita kuna topic kama INDUSTRIAL REVOLUTION au RISE OF DICTATORSHIP sasa haya mambo yanatuhusu nini Tanzania kama yeye anapenda...
  10. K

    Jamaa huyu sio mzima

    Basi moja lilipata ajali likatumbukia kwenye mto.Basi katika jitihada za kujiokoa jamaa mmoja akafanikiwa kutoka nje ya mto mara akaanza kuvua shati na suruali na kurudi tena kwenye maji watu wakaanza kumuuliza we vipi tena mbona unarudi tena mtoni jamaa naye akawajibu "NAMTAFUTA KONDAKTA...
  11. K

    MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe)

    Jamaa baada ya kugundulika kuwa ni yeye aliyempa mimba mtoto aliamua kwenda kujisalimisha kwa wazazi wa mwanamke JAMAA:Shikamoo baba,mimi ndiye niliyempa mimba binti yako lakini siwezi kumuoa ila kama akizaa mtoto wa kiume nitakupa Milioni 50,kama akizaa mtoto wa kike nitakupa Milioni 20 lakini...
  12. K

    MGAMBO NA MMASAI(kama ni rushwa hii imezidi)

    Kuna mgambo alimkamata mmasai kwa kosa la kukojoa mahali ambapo haparuhusiwi hivyo basi akamtoza mmasai elfu tano,mmsai akatoa elfu kumi kuona vile akamwambia sina chenji we kojoa tena
  13. K

    Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

    bongo movie wajipange
  14. K

    Wamakonde na msiba

    Wamakonde fulani siku moja walikuwa kwenye roli wakielekea msibani...waliimba nyimbo mpaka zikaisha wakabaki wanaangaliana basi mara mmakonde mmoja akajichoma na msumari akaanza kulia ''MAMAAAA NCHUMARI UNENCHOMAAA WEEE!! wenzake wakajua mwenzao kaanzisha mwimbo wakaanza kuimba ''MAMAAA NCHUMARI...
  15. K

    Kali ya mwaka

    Wazaramo walimkamata mwizi,hawakumpiga wala nini walimsema mpaka mwizi akafa.
  16. K

    Wekeni sawa hili

    Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota mgomba je hii ni sahihi?
  17. K

    Wekeni sawa hili

    Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota mgomba je hii ni sahihi?
  18. K

    notification:new member

    Nimefurahi kuwa sehemu yenye majibu ya maswali yangu kwani najihisi ni great thinker kwa nafasi yangu...ahsante
Back
Top Bottom