Search results

  1. W

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    kabla kikwete hajapelekwa, nakumbushia apelekwe mkapa kwanza the hague. jeshi lake liliua watu zaidi ya 30 mwaka 2007 znz. siyo mtu mmoja au wawili. watu zaidi ya 30
  2. W

    Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

    wana forum tuwe na tafakuri za kina. viongozi wa vyama vya kisiasa ni viongozi wa kitaifa. licha ya tofauti za kisiasa, wanafaa kuheshimiwa na wanasiasa wote. siasa siyo uadui. miezi miwili iliopita, lissu alikwenda na msafara wa spika ktk nchi za korea, japan........ prof kahigi alisafiri na...
  3. W

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    nenda kapimwe akili
  4. W

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    alie andika thread hii ni muflisi wa mawazo. akapimwe!
  5. W

    Rada siri yafichuka - wahusika wakubwa waanikwa

    Mh. Rais kasema kuna kosa la kiuchapaji lilfanyika. pesa zimerudishwa zipo nchini. tatizo liko wapi!? tuache kung'ang'ania mambo ambayo hayana tija. hata uingereza hakuna alieshitakiwa.
  6. W

    Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

    Mh Lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli...
  7. W

    Wahariri na Rais Kikwete: Yametimia yaliyotabiriwa?

    acheni unafiki. maswali a msingi yaliulizwa. EPA, richmond, ulimboka, mgomo wa madaktari, mgomo wa walimu, chenji ya rada pamoja na rushwa nyingine nini. msiwaonee wahariri. mwanahalisi ni gazeti la udaku na majungu. namshukuru JK kwa kuweka kila kitu wazi. ni hodari wa kujibu maswali
  8. W

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    hii kura ya maoni ni batili. huu ni mchezo wa kumdhoofisha zitto
  9. W

    Pinda: Karibu asilimia Tisini na Tisa (99%) ya Wanzanzibar ni Waislam

    Kauli alioitoa mchungaji msigwa jana bungeni kama swali kwa waziri mkuu, imezua mjadala mkubwa asubuhi hii. mchungaji msigwa ambaye ni mbunge wa iringa mjini kwa tiketi ya chadema aliuliza kuhusu msimamo wa serikali ya zanzibar kupiga marufuku uvaaji wa nguo fupi kupitiliza kipindi cha mwezi wa...
  10. W

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    USHAURI WA BURE KWA ZITTO mzee mtei ambaye ni muasisi wa chadema, aliwahi kukuwekea pingamizi usigombee uenyekiti wa chadema. ulikua umshinde mbowe kwa kupata 70% ya kura. mtandao wako wa akina kafulila ukasambaratishwa na kufukuzwa. una maadui wengi chadema. pole sn kwa hilo! siasa ndivyo...
  11. W

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie...
  12. W

    Waziri wa Miundombinu (Zanzibar) ajiuzulu

    nenda kwanza kajifunze Kiswahili ndiyo uanzishe thread. kujiuzuru maana yake nini? unamaanisha kujiuzulu? ama unamaanisha kuzuru? nadhani unamaanisha kujiuzulu kutokana na kumtaja mwakyembe. kuwa makini uandikapo kiswahili!
  13. W

    Ushauri wa Bure kwa CHADEMA

    siku hizi kuna usemi kuwa “kakumbuka shuka huku kumekucha”. Ni usemi ufananao na “majuto mjukuu”. Mwanasiasa makini ni Yule anaesoma alama za nyakati na kuwa na dira ya kumfikisha kwenye mafanikio. Mwanasiasa hodari lazima awe anabadilika kutokana na mazingira yaliyopo. Tatizo la vyama vyetu vya...
  14. W

    Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    unajua kusoma vizuri? nimesema KATIKA KIPINDI AMBACHO WANA UHASAMA NA KESI BUNGENI SIONI KAMA NI SAHIHI KWA MNYIKA KUTEMBELEA JIMBO LA NCHEMBA. kasome maneno yangu vizuri tena. inaelekea kichwani kwako pumba nyingi
  15. W

    Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    hii habari bado sijajua ukweli wake lkn kwa jinis ilivyo naweza kusema kwamba kama mnyika amekwenda ktk jimbo la nchemba katika kipindi ambacho wana uhasama na kesi bungeni, atakua amefanya kosa. Mnyka ana haki ya kwenda popote hapa TZ lkn kwa mtu mwenye busara asingekwenda kwa nchemba muda...
  16. W

    Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    hii habari bado sijajua ukweli wake lkn kwa jinis ilivyo naweza kusema kwamba kama mnyika amekwenda ktk jimbo la nchemba katika kipindi ambacho wana uhasama na kesi bungeni, atakua amefanya kosa. Mnyka ana haki ya kwenda popote hapa TZ lkn kwa mtu mwenye busara asingekwenda kwa nchemba muda...
  17. W

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    nimeamini jina langu la wakuziba lina uzito wake. kwanza nikishaziba, kuzibua hoja zangu ni shughuli nzito sana. pili lakabu yangu ya "mzee wa maneno yanayochoma nyoyo" ni mujarab na maridhawa kabisa! wengi wanaosoma makala zangu, huumizwa sana na ukweli wa maneno yangu. huwa uwezo wao...
  18. W

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    nianze kwa kusema kuwa nakukubali dr slaa kwa kazi nzuri ulioifanya bungeni kipindi cha 2005 - 2010 kabla hujagombea urais. nilikuelewa kama mtu alie makini, mzalendo aso yumbishwa na porojo za kisiasa! siyo siri hicho kipindi ulilitumikia taifa kama mzalendo halisi. hongera kwa hili! lakini...
  19. W

    Rose Kamili amemsafisha Dr. Wilbrod Slaa. Hongera Rose Kamili na wenzako mliofanikisha hilo

    nakupongeza kwa kuandika makala ndefu lkn tatizo ni kwamba MAKALA YAKO INAKINZANA NA KICHWA CHA HABARI. kwanza theory ni mbili. hii ya rose siyo theory. ilijulikana kwa muda mrefu sn! sikuelewi unapo sema rose kumshitaki slaa ni kumpa ushindi! ushindi upi!? naona kama ni kumuumbua na kumshushia...
Back
Top Bottom