Search results

  1. G

    Mauaji ya kinyama ndani ya Premier Palace -ARUSHA

    Hivi M600 inajaa kwenye begi la ukubwa gani? kwa noti za 10,000? naona hapa ni hadithi au? kama kweli basi bado tuna ulimbukeni wa kutisha.
  2. G

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Wadau! Pamoja na ugeni wangu naona hapa kuna kufitiniana au kuna mgongano wa kimaslahi. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ilishawahi kuandikwa kwenye mwananchi kwamba Bodi ya kahawa asilimia kubwa ni vihiyo- form 4 kwenda chini.
  3. G

    KILIMO KWANZA, sera au kauli mbiu?

    kilimo ni uti wa mgongo wa taifa, kilimo cha kufa na kupona, siasa ni kilimo, kilimo kwanza, n.k. tunarudi nyuma hatusongi mbele
Back
Top Bottom