Search results

  1. mangosutu

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Kuna watu wanamaono
  2. mangosutu

    TRA: Kufuta Usajili wa Vyombo vya Moto

    mliposhilikisha tu polisi nikaona hampo seriously
  3. mangosutu

    Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

    Raisi hapimwi kwa mafuta ya kura, usitusumbue tumia mafuta ya Mwamposa kupikia.
  4. mangosutu

    Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP ) Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
  5. mangosutu

    Brings back Moses Lijenje campaign

    Dah nchi yangu inavuja damu
  6. mangosutu

    Vijana tuna la kujifunza kutoka kwa Lissu

    Sio kwa uwezo wake, kwa mambo jinsi yalivyotokea ni dhaili shairi kuwa TL ni mpango wa Mungu. Mungu ameonyesha ukuu wake kupitia TL
  7. mangosutu

    TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

    Dah ,anyway RIP
  8. mangosutu

    Hoja za wanaoona lockdown haifai ni zipi? Tuelimishane

    Tatizo ni data, je tunatakwimu za kuwatambua makundi ayo ya watu ? Tatizo la wabongo ata wenye uwezo wa kati wataenda kupanga foleni kwenye chakula cha misaada...yani leo hii ukitangaza umeme bure kesho tu majiko ya umeme yataadimika. Maamuzi magumu yanaitajika, kwa hali inavyokwenda lockdown is...
  9. mangosutu

    Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Unachotakiwa kuelewa kwakuwa kodi zimepandishwa ,ni vigumu kupata wawekezaji wapya...na wale ambao wameshawekeza (wanaozalisha) wataendelea lakini life of mine ktk mgodi usiku itapungua kwani cut off grade itakuwa adjusted ili kuendana na ongezeko la kodi. Kwa sasa unaweza sema mapato...
  10. mangosutu

    Hivi ni lazima mlinzi wa Rais avae Kijeshi?

    Enzi za mwalimu Nyerere kuna kipindi alikuwa na ADC kutoka jeshi la polisi
Back
Top Bottom