Search results

  1. Jazzie

    Kwanini kufufua Air Tanzania kwa fedha zetu wenyewe badala ya ubia?

    Mkuu ngoja nikujibu: 1. Nani hapa kwetu ana uwezo wa kumiliki ndege za abiria awezd kibiashara kushindana na hayo mashirika? - Unafanya assumption kwamba ilikuwa lazima Tanzania nayo iwe na shirika la ndege. Hiyo hoja imeshapanguliwa hapo juu na wachangiaji wengi. Siyo lazima Tanzania iwe na...
  2. Jazzie

    Kwanini kufufua Air Tanzania kwa fedha zetu wenyewe badala ya ubia?

    Mkuu, hapo kwenye bei umenena. Kwanini mashirika kama Delta ya Marekani inapiga ukunga kwamba ushindani kati yao na mashirika ya ndege za Uarabuni sio fair? Kwa sababu Waarabu wanafungulia bomba la mafuta kama subsidies kwa mashirika yao. Siyo kwamba hatupendi chetu, ila tunasema ukweli...
  3. Jazzie

    TUMAINI - Filamu Mpya Iko Jikoni

    Hebu pata trailer kidogo trailer ya Tumaini utoe maoni yako
  4. Jazzie

    TUMAINI - Filamu Mpya Iko Jikoni

    Hebu pata trailer ya TUMAINI, filamu inayotarajiwa kupakuliwa siku za karibuni...
  5. Jazzie

    Umechoka Tamthilia za Kichina?

    Kama umechoka tamthilia za Kichina, hebu pitia hapa upate tamthilia mpya ya Kibongo. https://www.facebook.com/MapankiShow/
  6. Jazzie

    Umechoka Tamthilia za Kichina?

    Kama umechoka tamthilia za Kichina, hebu pitia hapa upate tamthilia mpya ya Kibongo. https://www.facebook.com/MapankiShow/
  7. Jazzie

    Mapanki - tamthilia bomba mtandaoni

    Hebu burudika... https://www.youtube.com/watch?v=pbmjF7V89iI&list=PLYdGiQ7Qm10o5fagoWEXwIykSU1JGOJDn
  8. Jazzie

    Burudika na Tamthilia ya "MAPANKI"Mtandaoni

    https://www.youtube.com/watch?v=pbmjF7V89iI
  9. Jazzie

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Kingunge kaamua kuwa kwenye upande sahihi wa historia. Dhana ya kijiunga na chama ni mambo ya kizamani. Mtu unaweza kuwa independent lakini ukawa unavutiwa na upande fulani.
  10. Jazzie

    Computer accessories: Namtafuta business partner

    Mkuu, ni accessories za aina gani unatafuta?
  11. Jazzie

    MAPANKI - Urefu wa Tamthilia

    Mapanki...tunakuja February 7, 2015. Usishangae kwa nini tamthilia itakuwa na urefu wa kama dakika 10 tu hivi. Kwa nini tumeamua tamthilia ya Mapanki iwe na urefu wa dakika 10 badala ya dakika 30 mpaka 60? Ni kwa sasabu mpango wetu ni kuonesha tamthilia yetu kupitia mtandao tu. Kwa...
  12. Jazzie

    MAPANKI - Tamthilia Kali Inakuja!

    Hao watu tu hoii kivipi? Ningependa kusikia mtazamo wako na kile ambacho ulikitarajia...hasa ukizingatia hii ni sanaa na siyo lazima kila kitu kiwe kama cha Oysterbay/Masaki. Lete data.
  13. Jazzie

    MAPANKI - Tamthilia Kali Inakuja!

    MAPANKI, tamthilia ya kipekee inakujia hivi karibuni. Pata preview hapa : http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Kwa habari zaidi: www. mapanki.com
  14. Jazzie

    Mapanki...tamthilia mpya inakuja

    SWAGA-licious...nyuma ya pazia, vijana wakipanga mikakati... MAPANKI Tukutane February 7, 2015 episode ya kwanza itakaporuka hewani...
  15. Jazzie

    MAPANKI - Tamthilia Kali Inakuja!

    MAPANKI
  16. Jazzie

    MAPANKI - Tamthilia Kali Inakuja!

    Nimekutana na hii kitu wadau. Tamthilia ya MAPANKI inakuja mtandaoni na inaonekana itakuwa bab kubwa! Promo yao iko Youtube: http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Na taarifa zaidi ziko MAPANKI
  17. Jazzie

    Katiba Mpya: Ukweli mchungu kuhusu kura ya ndiyo au hapana

    Bahati mbaya hawakupiga hesabu Jaji Warioba kuendelea kupigia debe katiba ya wananchi. Hawakupigia hesabu pia kuhusu UKAWA kuendelea kudunda na kuwa na mipango mipana...ukiangalia sasa hivi wanaoweweseka ni Magamba...
  18. Jazzie

    Diaspora washangaa Uhamiaji kuwapa uraia wageni, kunyima Watanzania

    Naona unapiga dana dana. Je, Kikwete na CCM (kama alivyosema mwenyewe kwenye hiyo video) hawakukubali dual citizenship? Jibu ni Ndiyo. Sasa kama ni ndiyo, kwa nini ilipofika kwenye BMK, ambalo CCM wenyewe walibaki, wakaligomea hili suala?
Back
Top Bottom