Search results

  1. M

    Hivi Mbowe hili unalionaje?

    Mheshimiwa Mbowe ni muumini mzuri sana wa uhuru wa vyombo vya habari na hii inajidhihirisha katka namna ambavyo ameliacha gazeti lake la Tanzania Daima kufanya kazi yake bila ya kuingiliwa. Policy hii ya hands off, ni nzuri na ni nguzo muhimu sana ya uhuru wa vyombo vya habari hasa katika nchi...
  2. M

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Ni juma moja limepita sasa toka wananchi wa Arumeru Mashariki wakatae siasa za uchifu, siasa za mnada na kuonyesha chuki na hasira zao kwa kupandikiziwa chaguo la mtu kwa manufaa yake binafsi. Swali langu ni je, yule muathirika mkuu wa kukataa huku kwa wana-Arumeru ambaye kimsinginalikuwa...
  3. M

    Kumbe fedha za ushoga zimeshapenyezwa nchini?

    Pamoja na kwamba shauri hili hivi sasa ni mchakato wa kimahakama ambao haustahili kujadiliwa kwa uwazi, lakini habari zilizopenyezwa zinadai kwamba fedha zilizokutwa zimelundikana katika akaunti ya wakili maarufu wa mjini Arusha, ni sehemu ya misaada ambayo imekuwa ikimwagwa na mashoga wa nje ya...
  4. M

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    Siku kadhaa zilizopita, waziri wa Utamaduni, Habari na Michezo alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka 50 ya uhuru ambazo wizara yake iliamua kuziandaa kijijini Butiama. Katika sherehe hizo jambao moja lilikuwa dhahiri. Kwamba si mjane wa Hayati Baba wa Taifa, wala familia yake na hata ukoo...
  5. M

    Naulizia wale wanaharakati wa kupinga malipo ya chenji ya Rada

    Nimekuwa najiuliza walikopotelea wale wanaharakati wa kupinga serikali kurejeshewa malipo ya chenji ya Rada. Wanaharakati hawa na mafisadi wa uhuru na heshima ya nchi yetu kupanga matumizi ya fedha za walipa kodi wetu walikuwa katika pilika pilika za kukusanya saini za wanaowaunga mkono ili...
  6. M

    Is WikiLeaks revelation a diversionary tactic?

    In the last few days, there has been an intense and charged discussion about Weakleak revelation on what is alleged to be the President's dress offer from the owners of Kempiski Hotel, the President's request for training opportunity for two former state house operatives, and Membe's view on...
  7. M

    Baada ya kile kinachoitwa ukombozi wa Libya, NATO kulipwa USD Trilioni 3

    Wakati mjadala ukiendelea juu ya kuitambua au kutoitambua NTC, sasa imedhihirika kwamba utawala huo mpya wa waasi utalazimika ku-service deni linalokadiriwa kufikia dola la Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na hasara ambazo wanachama wa NATO wameingia kwa kushiriki katika vita vya kumuondoa...
  8. M

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    Nimelisoma tangazo la Wizara ya Nishati na Madini kuhusu kile kilichodaiwa kwamba Ngeleja amemkana Jairo na kilichojitokeza pale kikanikumbusha ule usemi wa kimombo usemao kwamba a fool who is quiet is considered wise. Taarifa hiyo imejaribu kukanusha na kufafanua kukosekana kwa Ngeleja bungeni...
  9. M

    Elections 2010 Didas Masaburi: First things first

    I was privileged to watch Honourable Didas Masaburi, His Worship the Mayor of Dar es Salaam, firing a salvo with a lot of gusto, at some Members of Parliament who blew the whistle on the UDA Scandal, threatening to spill the beans and lay bare what he says are acts of embelzzlement committed by...
  10. M

    Bado tunazisubiri Ripoti hizi

    Ilikuwa masaa, siku, na hatimaye miezi toka Mheshimiwa Reginald Mengi na baadae Mheshimiwa Harrison Mwakyembe walipotoa malalamiko dhidi ya mwenendo wa baadhi ya wafanyabiashara na wakubwa katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuhusika katika njama zilizosukwa za kuhakikisha kwamba wao...
  11. M

    Mbunge akitekeleza majukumu ya jimbo anatoa msaada?

    Juzi juzi nilisoma habari katika moja ya magazeti ya kila siku, likiripoti kwamba Mbunge wa Mvomero Mheshimiwa Amos Makalla ametoa msaada wa mipira 23 pamoja na seti za sare za michezo kwa vikundi vya vijana ambao ni wapiga kura wa jimboni kwake. Hili neno msaada lilinipa maswali kidogo hasa...
  12. M

    Bukuku Naibu Katibu Mkuu EAC

    Kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kimemteua Dr. Enos Bukuku, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa mmoja kati wa Manaibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo. Kwa uteuzi huu, Dr. Bukuku anaacha kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu. Tunatumaini kwamba uzoefu...
  13. M

    Kamati za Bunge

    Mimi nimeshangazwa na Wenyeviti wa baadhi ya Kamati za bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa hawa waliochaguliwa majuzi kuongoza kamati za nishati, miundombinu na kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama. Muda mfupi baada ya wakubwa hawa kuteuliwa wamekuwa wanatoa matamko...
Back
Top Bottom