Viongozi wa jumuiya ya uamsho wanaodaiwa kusababisha vitendo vya uvunjifu wa amani Visiwani zanzibar wamefikishwa kwa mara nyengine katika mahakama kuu ya vuga kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyotolewa na mawakili wao dhidi ya vitendo wanavyofanyiwa wateja wao wanapokuwepo...
Natamani zanzibar tuachiwe tupumuwe
natamani zanzibar iwe huru kutoka kwenye ukoloni wakitanganyika
iwe na mamlaka kamili ya kitaifa na kimataifa
zanzibar iwe na kiti chake umoja wa kimataifa
natamani mashekhe wetu waachiwe na waendelee kufanya harakati za ukombozi wa zanzibar
natamani rais...
Nimegundua humu ndani ukisema ukweli huwa wanaku ban.
Nimeingiza thread yangu recently wame ni ban, lakn wajanja huwaga hatuna id moja, na kama kawa tutaendelea kusema ukweli kama hamtupendi waislam hususan wazanzibar.
Ata mkituban tuna id nyingi tu. Hii JF ni ya wakristu nimegundua.
Kama imekuuma iyo post si usingechangia, au kama umeipenda mpe dada yako my facebook id, than atakwambia ninavyochati naye,
umefahamu muheshimiwa??????????????
Alaaaaaaaaaaaa nimepata picha ndo nyie watanganyika tusiwowahitaji zanzibar mnajifanya mnaupenda muungano,,, tuachiwe...
natafuta msichana ambaye atakua anatumia facebook ili nipate kuchati nae, awe na sifa yoyote ile mi nipo tayari kuwa nae my facebook profile is www.facebook.com/mtaalam18
not ukalimu bali ni ukarimu, anyway,,,,,,, sisi hatutakukumbukeni kwa lolote bali kwa maovu na ufisadi na unyonyaji wa visiwa vidogo vya zanzibar,
mimamo wetu uko palepale tunataka zanzibar huru tumechoka na ukoloni wa watanganyika. TUACHWE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
mimi nikiwa kama mzanzibar, sitaki wala sipendi kusukia, msimamo wetu ni uleule wa kuvunja muungana ili tupate kurejesha jamhuri ya watu wa zanzibar, pamajo na its full sovereignity, yenye kujiamuliwa maamuzu yake mwenyewe, pamoja na rais wake anayetambulika nje na ndani ya nchi.:yawn:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.