Search results

  1. J

    Je! nitaweza kusoma Masters of medicine?

    Hiyo ni ngumu mzee! you need medical degree
  2. J

    Njia sahihi ya kupata pesa zenu kutoka helsb ni.......click here

    thus a true say! Bhaaaaaaaaaassssssssssssssss
  3. J

    naombeni msaada jamani, nifanyeje?? tcu wamenifanyia hivi

    tatizo ni nini brother! hauoni ulipopangiwa????????????
  4. J

    Kama unataka kujua kama umepeta chuo au la! Sign in kwa user name yako tcu!

    oyaaaaaaaaaa kama unanzingua flani hivi????????/ au umekosa cha ku-post? hiili jambo unaongelea kuna thraed kibao zimesha sema!!!!!!!! so kama vipi uweunapitia thread nyingine kabla hauja post kitu! yaani kifupi una-boa brother, JIPANGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.................................
  5. J

    kwa wale wanaosoma muhas...

    tupia ma-evidence basi! unafikiri tutakuamini vp?????????????
  6. J

    kwa wale wanaosoma muhas...

    Vp baba utuambizane bac Mtoa mada! una dondoo kuhusu selection nini? Kwani umeshapata addmission pande hizo nini? Cause kama unajihakikishia ushindi hiviii
  7. J

    Second round application ya TCU imewadia

    Khaa! huu ni wizi mtupu tena in black and white, yaani hiyo process of application on the basis of first come first served, siyo fair hasa kwa ataye chelewa kupata taarifa like wale ndugu zetu wasio na resources kama pc na walio killage. itakuwaje sasa? Ndio hapo mtu ana qualification nzuri ana...
  8. J

    Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

    ilikuwa chaguo langu la tatu
  9. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    oya man! Mbona ka unazingua hivi! Au kisa ma2c haya ruhusiwi humu ndani, ndio maana unakosa jiheshimu
  10. J

    Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

    daaaah hapo umetisha shekhe wanguuuuuuuuu
  11. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    sasa wewe unaejiita jaridotcom2 ​ kwa post yako labda una taka kutu eleza nini maana haueleweki kabisaa:sleepy:
  12. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    normal tu kama ilivyo kuwa mwanzo, hakuna jipya. its like i said earler bado selection hawajazi upload
  13. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    wewe acha uzembe! pitia comment zote utajua siyo kurukiarukia mambo tuuu,utaja umia bureeeeeeeee
  14. J

    Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

    aise mazee naona hilo jambo ni kwa kila mtu mazeeeeee maana hata mimi all are eligible except my first option ndio ime kuwa not eligible. But i think siyo gurantiee that utakuwa umechaguliwa huko may nitatizo la kiufundi au site iko down for maintanance au ndio wa upload selection! lets wait
  15. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    nitafanya nini sasa, muhimbili competition kubwa cause mijitu mingiii plus tcu ndio mpangaji tena basi inanibidi ni kubali matokeo and take it as an investment cause si unajua tena udaktari una future nzuri, huo mshiko utarudi tuu and pia sikuna mkopo wa 2.6mil zakunipiga tafu, uzuri gharama...
  16. J

    Naomba mnijuze kama kuna mtu kafutiwa eligible tcu leo?

    hawaja ambatanisha may be nikipata nafasi nitawaibukia
  17. J

    Naomba mnijuze kama kuna mtu kafutiwa eligible tcu leo?

    nimepata habari zisizo rasmi kuwa selection zimeshatoka ila hazija uploadiwa kwenye mtandao bado! but pia nasikia zimebandikwa kwenye baadhi ya vyuo, so kama upo near ya vyuo ulivyo apply kacheki au kama una mtu wa karibu mtaarifu akuchekie. ila kwa hili sina uhakika kama ni kweli is just...
  18. J

    Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

    sasa masela kama vipi muuulizeni huyo alienitumia maana mijitu mingine humu jamvini ni mibishi kama nini
Back
Top Bottom