Search results

  1. S

    Nina mtoto 1, nimepata mchumba ananipenda ila simpendi, nifanyaje?

    muda fulani mtu usiyempenda au ambaye hujamtarajia ndiye anayekuoa
  2. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kubadilishana kituo cha kazi toka ukerewe kuja mwanza mjini idara ya secondary mawasiliano 0682625655
  3. S

    Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    kama hujiheshimu na kujiamini utaendelea kufanaya mambo ambayo yana kushusha, najua unaweza hata kumteka mdogo wako
  4. S

    Ingia hapa utengeneze pesa,fungua link hapo chini

    CashWeGo.com - Earning website for Students, Job-less people and House wife
  5. S

    Je, ni vyema mwanaume kufunga ndoa kwao mwanamke?

    Naomba kuwauliza wenye uzoefu, nategemea kufunga ndoa kwa kufanya harusi, lakini baba mkwe aliniomba kwamba harusi ifanyike kwao ili aweze kumfanyia binti yake sherehe. Sasa naomba kuuliza nikikubali nitakuwa nimeolewa au haina shida inawezekana tu, jamani niko njia panda. Naombeni ushauri
  6. S

    Nitumie njia gani kulifikisha hili suala nyumbani?

    mama ana hasira kwasababu umemwaribia binti yake maisha,jitahidi kumshawishi binti akuunge mkono asilimia 100,hapo ndo utafaulu
  7. S

    Wanaume wenye akili za darasani wengi ni madomo zege

    lakini si wanaoa?ungesema wanashindwa kuoa ningekuunga mkono,lakini kutotongoza ni maamuzi wa mtu
  8. S

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Pole sana ndugu,be smart in everything you do,inaonekana ameshakusoma na amekuelewa more than you know her. Ni mke wako na huwezi kumuacha,mwanaume huwa anabadilikabadilika kuwa kama kinyonga ili asije akakujua sana. Pia kama inawezekana mzalishe(watoto tano) sana atakuwa shaped tu.
  9. S

    Walimu mnaweza kujiajiri

    ni ushauri mzuri sana nashangaa mtu antoa matusi kwenye jambo ambalo angelifanyia kazi na kufaulu
  10. S

    Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

    kama ulimuonjesha basi imekula kwako,ameshaujua
  11. S

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Ukiwa mtumishi wa Mungu hupaswi kuchanganya siasa na Mungu,ndo maana wanajikuta badala ya kuchunga kondoo za Mungu wanajiingiza kwenye siasa. Pia tambua kuwa kanisa la Roma ndo chanzo cha vurugu zote ulimwenguni. Wanaye mtu anayeitwa black POPE ndiye anayetekeleza yote haya.Mungu awasaidie...
  12. S

    Serikali imeshindwa kuwalipa wakulima wa mahindi pesa zao

    Serikali ilioko madarakani imewavurugia na kuwarudisha nyuma kimaendeleo wakulima baada ya kununua mahindi kwa mkopo toka kwa wakulima. Wakulima wengi wamelaani kitendo cha serikali kutowalipa pesa zao huku mda wa kilimo ukiwa umewadia
  13. S

    Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

    waache watimize unabii maana wanakwenda kinyume na maagizo ya yesu. wamekuwa matapeli kupitia jina la yesu adhabu yake nahisi ni maradufu. wanaweka hela mbele kuliko kuwaongoa mioyo ya waumini
  14. S

    Ajali Nyingine Katavi

    september 11 ,na tena mwezi mzima bado matukio yanaweza tokea za kutisha. Tunawapa pole wote waliopatwa na janga hilo
  15. S

    Mwaliko wa marais toka Africa huko marekani

    Hivi kuna ajenda au siri nyuma ya pazia kuhusu mwaliko kwa marais wa africa?
  16. S

    Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

    Tafuta kazi Kama UKo competent achana name kujitolea.
  17. S

    chuo cha st Joseph Songea watangaziwa kurudi chuoni baada ya mgomo

    ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (Plot No. 113, Kibamba, Mbezi Luguruni, P.O.Box. 11007, Dar es Salaam) NOTICE REOPENING OF THE CAMPUS COLLEGES AT SONGEA ST JOSEPH COLLEGE OF INFORMATION TECHNOLOGY and ST JOSEPH COLLEGE OF AGRICULTURAL SCIENCE AND TECHNOLOGY All the students of both the colleges...
  18. S

    Ugomvi mkubwa umetokea baina ya uongozi wa chuo cha St Joseph

    Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa raia wema na kuokolewa afunguka kuhusu uozo uliopo chuoni hapo asema wanafunzi wamegoma kwa haki...
  19. S

    Ugomvi mkubwa umetokea baina ya uongozi wa chuo cha St Joseph

    Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea. Mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa raia wema na kuokolewa. Afunguka kuhusu uozo uliopo chuoni hapo asema wanafunzi wamegoma kwa...
  20. S

    Mgomo mkubwa leo st.joseph college songea

    Wanafunzi wa chuo cha st.Joseph college songea wamegoma kwa kudai kurudishwa kwa viongozi wa wanafunzi waliosimamishwa masomo,pia wanadai wahindi wanawanyanyasa. Mgomo hadi jioni hii haujapata mwafaka kwa hiyo bado kesho wataendelea na mgomo.
Back
Top Bottom