Search results

  1. Felix Aweda

    Kurekebisha fomu ya mkopo 2016/2017

    Habari za mda huu wanajamii Naombeni msaada Wataalamu wa IT walioko humu. Jana nilijaza fomu ya bodi ya mikopo sasa kuna sehemu ya wilaya nilikosea kujaza. Badala ya kuandika wilaya ya Ngorongoro nilijikuta nimeandika wilaya ya Arusha. Tofauti na mwaka jana, mwaka huu hakuna sehemu ya...
  2. Felix Aweda

    Simu yangu ya H5 haidownload.

    Habari wanajamvi. Naombeni msaada kuwa simu yangu ya H5 imekataa ku download picha na video ya WhatsApp. Ina download mpaka mwisho then inaanza mwanzo tena. Zingine ukizirudia ku download inakubali ila haiplay inaandika bad format. Naombeni msaada wenu.
  3. Felix Aweda

    Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ndugu habari za mchana. Naomba msaada, nilisikia kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni tar 14 Dec 2014 na asubuhi ya leo nikasikia uchaguzi umerudishwa nyuma. Kama hiyo haitoshi, mabalozi wanaandika majina kuwa yatatumika katika uchaguzi huo. Wakati huohuo nasikia kadi za zamani hazitatumika...
  4. Felix Aweda

    Hi

    Hello Jamii forum member
Back
Top Bottom