Search results

  1. BilioneaPATIGOO

    Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

    Mkuu kwanini msiende ubalozini wa kwetu hapo sauzi? Muombe kuonana na balozi, hili suala lisiishe hivi hivi tu ..huu ni UNYAMA...tena kwa MTANZANIA ..
  2. BilioneaPATIGOO

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. BilioneaPATIGOO

    Akpan na Okwa Wagoma Kuondoka Simba SC

    Dawa ni kupigwa benchi tu. Dawa ya jeuri ni kiburi.
  4. BilioneaPATIGOO

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Unaanza kutisha watu
  5. BilioneaPATIGOO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah wanakera sana mkuu, walikua wapi siku zote ndio wanaanza kujiona mastaa wa kukaa top 4..mbaav!
  6. BilioneaPATIGOO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawa newcastle mbona wanatufuat fuata sana ..
  7. BilioneaPATIGOO

    Al Hilal nayo yamtaka Messi kwa mabilioni ya pesa

    Usweken anapolipwa bilioni 500 kwa mwezi..hapo saiv unaungua jua ukiwa wapi dogo.
  8. BilioneaPATIGOO

    Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

    Anazimudu kwa kufanya ama kuongoza mauaji na uhalifu sehemu mbalimbali tanzania awamu ile ya tano? Au labda unieleweshe anazimudu vipi?
  9. BilioneaPATIGOO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Wafalme wa matakataka labda!
  10. BilioneaPATIGOO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Haujakata ila timu pinzani ikifanya homework vizuri huyu haaland hana maajabu yoyote, wa kawaida sana, mno, atakua anahangaika tu, ila ikikutana na timu zinazojiendea tu basi ndio huyu hua anafunga magoli mengi sana sababu ya uzembe wa timu pinzani..
  11. BilioneaPATIGOO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haya madogo walikua wanakula TANO leo, Huyo mshambuliaji aliesajiliwa aanze tu haraka kucheza..tano leo walikua wanakula hawa mangedere.
  12. BilioneaPATIGOO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Habari zenu humu, nauza sumu za PANYA, KUNGUNI, MENDE, , na pia kamba kitanzi kwa ajili ya kujinyonga, yoyote hunu mwenye hasira anione haraka sana, order ni nyingi
  13. BilioneaPATIGOO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nauza sumu za PANYA, unataka??
  14. BilioneaPATIGOO

    Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2056299/ Mental illness is REAL in TANZANIA ...
Back
Top Bottom