Natafuta wasambazaji wa mikate aina zote. Mikate ya Tshs 1000 utauziwa kwa Tshs 650 tu. Hii ni pamoja ya skonzi,kawaida,Toss na mingine. Tuko DAR wasiliana nasi kwenye no 0767609044
Guys huu ugonjwa wa Nguruwe unaua banda zima kwa siku moja nini kinga? Ukishatokea inabidi ufanyeje kurudi kwenye game? Wale Vitoto vinavyobaki vinafaa kuendelea kufugwa au vinakuwa tayari navyo vinamaambukizi? ?
Guys huu ugonjwa wa Nguruwe unaua banda zima kwa siku moja nini kinga? Ukishatokea inabidi ufanyeje kurudi kwenye game? Wale Vitoto vinavyobaki vinafaa kuendelea kufugwa au vinakuwa tayari navyo vinamaambukizi? ?
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau hakupatikana kwa maelezo kuwa alikuwa kwenye mkutano mkoani Mbeya.
Lakini Meneja Kiongozi Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume amesema mikopo kwa serikali imetolewa kwa uangalifu na inalipwa bila matatizo na kwa misingi ya kibiashara.
Mikataba ya...
Kulingana na taarifa ya CAG, sehemu kubwa ya fedha za wanachama ambazo hazijarejeshwa, zilikopeshwa kwa serikali kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Katika chuo hiki, NSSF peke yake iliingiza Sh. 234.1 bilioni. Mifuko iliyosalia ilitoa jumla ya Sh. 181.3 bilioni.
Katika...
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na kupoteza fedha za wanachama wake.
Hii inatokana na serikali kushindwa kurejesha katika mfuko huu, mabilioni ya shilingi iliyokopa au kudhamini katika miradi mbalimbali.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Imezoeleka sana Bodi nyingi wakurugenzi wake ni Wastaafu. Sasa hii ni kwamba ndo wana sifa za kufanya hiyo kazi kuliko wengine? Ni kupeana Ulaji/Kubebana? Lazima Bodi ya wakurigenzi wawe wazee?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.