Search results

  1. V

    Halmashauri ya Muleba wapeni walimu wapya hela zao za kujikimu

    Bro the same case to sengerema, misungwi, maswa, na baadhi ya wilaya nyingi sijui shida yao n nn?
  2. V

    Pesa ya kujikim haijatolewa mwezi wa pili sasa toka walimu wa ajira mpya zitangazwe tar 12.4.2017

    Pesa hii ni haki yao lakn mpaka sasa wanaanza mwezi wa pili makazini bila kulipwa pesa yao ya kujikim serikal inafikiria nn juu ya hili?? kwenye tangazo la ajira lilionesha matumaini kua pesa ipo na atakaechukua pesa ya kujikim na kuondoka atachukuliwa hatua kali.. lakn mpaka leo tar 17.6.2017...
  3. V

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    hombolo sec school dodoma whatsapp: 0753780497
  4. V

    Tetesi: Ni kweli Walimu Lushoto hakuna likizo?

    hata mwanza is the same thing ndugu... walimu wana shida sana....... nn maana ya likizo na wanafunzi wenyewe ndo hao hata hawana mood ya kusoma ni kama wanalazimishwa tu kubaki shule wakt wa likizo
  5. V

    Wanaoifahamu Nsumba Boys iliyoko Mwanza!

    nmepita pale O-Level 2009. Ni shule iko good sana mzee. tafta uhamisho uingie upige masomo.
  6. V

    Pesa ya kujikimu kwa walimu ajira mpya imekuwa shubiri

    Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo sengerema, misungwi, ukerewe, magu. Na sehem nyingne nying yaani kwa kifupi tunateseka hapo nmetaja...
  7. V

    Pesa Ya Kujikim Kwa Walimu Ajira Mpya Imekua Shubiri Kwa Baadhi Ya Halmashauri.

    Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo sengerema, misungwi, ukerewe, magu. Na sehem nyingne nying yaani kwa kifupi tunateseka hapo nmetaja...
  8. V

    Waziri wa TAMISEMI, shusha rungu huku halmashauri. Wapigadili wanabugia pesa za walimu ajira mpya

    sengerema leo tumeambiwa pesa bado haijaja na tumeambiwa tuwe wavumilivu bro.. hali ni tete mpaka sa iv hatujui tutapata hela lini??
  9. V

    Nyampulukano Sec School.

    Oi galinsoga mwenyewe au nani aiseee?? sijakusoma mdau
  10. V

    Nyampulukano Sec School.

    Ina advance pia
  11. V

    Nyampulukano Sec School.

    Ntakaa huko huko sengerema kwanza...
  12. V

    Nyampulukano Sec School.

    Au ndo galinsoga mwenyewe... niaje
  13. V

    Nyampulukano Sec School.

    Asante sana mkuu kwa taarifa..
  14. V

    Nyampulukano Sec School.

    Asante sana mkuu... kuishi mwanza afu nkafanye kazi sengerema mpaka nijipange kwanza kimaisha
  15. V

    Nyampulukano Sec School.

    Kwan kuna kitu nmekosea hapo ndg???
  16. V

    Nyampulukano Sec School.

    Asante sana ndg.. inaonekana umenifaham nani ndg
  17. V

    Nyampulukano Sec School.

    Hata kama ingekua kijijini ningeenda tu sina kiburi cha kugoma kwenda kwa maisha niliyoyaishi toka nimalize chuo 2015.. nashukuru kwa infor ndg angu
  18. V

    Nyampulukano Sec School.

    Pamoja sana ndg angu.....
  19. V

    Nyampulukano Sec School.

    Habarini za kwenu wanajamvi.. ni matumaini yangu mu wazima wa buheri kabisa.... Naitwa Mwl. Victor Nyanda ni mwl mtarajiwa wa shule ya secondary nyampulukano iliyoko sengerema mkoa wa mwanza... sa naitaji kuijua kiundani zaid kwa mwenye uelewa juu ya shule hhii anipe mwang bhasi.. asanteni.
Back
Top Bottom