Search results

  1. Abou merlin

    Naomba msaada kuhusu usajili wa vyuo na mikopo

    Habari zenu wakuu, Please naombeni msaada, nilijisajili ktka chuo amabacho sjapangiwa na TCU, so mkopo umeingizwa chuo nilichopangiwa na TCU amabcho sasa hiv nataka niende. Je ! nitasajiliwa kwa kua nishasajiliwa na chuo kingine? au niende ku cancel nilipojisajili mwanzo ili wanisajili.
  2. Abou merlin

    Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    watatujuulisha lini? via sms notification tuwalipe pesa yao au ndo mpaka deadline ipite?
  3. Abou merlin

    Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    IT with education... sijutii kwani kumalza tu nimeajiriwa
  4. Abou merlin

    Mwenge University College of Education

    mm natoka zanzibar.. na kiukweli nategemea kufika huko jumatano,,, vp itakua sijachelewa sana mkuu apo?
  5. Abou merlin

    Mwenge University College of Education

    mm nimepata, hebu tupe info kidogo about Mwenge university
  6. Abou merlin

    B.A in Geography and Enviromental Studies

    vp hali wana jf mwenzenu nategemea kwenda kusoma course hii Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies katika chuo cha mwenge university collage of education ​kipo moshi... vp kwa course hii naweza kudeal na ishu gan? au kuajiriwa iddara gan?
  7. Abou merlin

    Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

    ndo ivo buddies nipeni ushauri
  8. Abou merlin

    Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

    habari zenu? jamani naombeni ushauri nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya Gs-'C' Geography-C English-B Kiswahili-B hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
  9. Abou merlin

    mwezi gani wa kuanza chuo kwa wahitimu wa form six 2014

    habari zenu wadau mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2014 napenda mnijuzi hivi chuo tutaanza mwaka huu mwezi wa 10 au itakua January mwakani
  10. Abou merlin

    Hatimae uhamiaji yametimia

    http://www.immigration.go.tz/news.pdf fuateni link iyoapo
Back
Top Bottom