Search results

  1. J

    Jordan express co ltd waagizaji wa magari ya bei poa kutoka japani.

    ...............jamani naomba kujua nani anajua CUSTOMS BONDED niwapi kuna rafiki yangu anataka kunua gari wanamwambia liko Customs bonded alipie wamletee nikweli?
  2. J

    Jordan express co ltd waagizaji wa magari ya bei poa kutoka japani.

    Rav 4 milango mitatu bei gani ya 2000 mwaka?
  3. J

    Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

    ofisi zao ziko chama cha walimu ilala floor n0 8 lakini mimi sikufika ofisini kwao niliomba proforma wakanitumia kwanjia ya email a/c ya nmb niliwalipa pesa zao zote nikabaki nadai gari langu,waliandika miezi miwili gari kufika likawai kufika kabla ya uo muda na mimi nilikua safarini nikawapa id...
  4. J

    Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

    Jordex sio wasanii IST week tatu nilipewa kutoka JP ikiwa safi ndani na nje mpaka mum yangu alishangaa baba watoto alikua anaogopa pia watu kibao walishangaa sana muda mfupi nilikua barabaran, hivi juzi niliwaunganisha na rafiki yangu anataka OPA,uongozi wa Jordan lipeni JF tumewajua kupitia...
  5. J

    Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

    nimewatafuta sana JORDEX niwape asante yenu tangu jana siwaoni pole sana
Back
Top Bottom