Search results

  1. H

    Prof. Baregu: Ikipaswa nichague kati ya nchi yangu na Chama Changu...

    Katika ukomavu na uzalendo wa hali ya juu, Prof. Baregu kawajibu viongozi wa juu ya CHADEMA kile wasichokitarajia. Alitakiwa kujitoa tume ya marekebisho ya katiba Prof.akajibu.."if i have to choose between my country and my party I shall choose my country! "Sikubaliani na ushauri wenu wa...
  2. H

    Nnauye: Viongozi wengi Chadema wanaganga njaa...

    Adai wanaganga njaa kwenye siasa. > Asema wanalojua ni kung'oa kucha watu. > Laana ya damu kwenye operesheni zao inawatafuna. > Wanataka madaraka kwa gharama yeyote. > Awataka wananchi kuwa macho nao. Ameyasema hayo kweny mkutano mkubwa hadhara mjini Kilosa
  3. H

    Siku za Lowassa CCM zinahesabika!

    Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu...
  4. H

    Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

    Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM.... "Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"! KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!
  5. H

    Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

    matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
  6. H

    Magufuli atekeleza agizo la Nape, amfukuza mkadarasi Ruvuma

    Du!!!!! who is this young guy Nape, aliagiza serikali imtimue mkandarasi wa barabara ya Namtumbo/Tunduru kwasababu ya kasi yake mbovu ya ujenzi wa barabara hiyo... Itakumbukwa Nape alipofanya ziara mkoani Ruvuma alimwagiza Magufuli kumtimua mkandarasi huyo kwa hoja ya kuwa na speed isiyoridhisha...
  7. H

    Slaa fanya uamuzi mgumu!

    WAKATOLIKI wana kiapo wanapomsimika mtu kwenye imani yao ya Ukatoliki. Kiapo hicho kinasema: “Kumkataa shetani na mitego yake yote pamoja na vishawishi vyake vyote”. Kiapo hicho kinasisitiza kumkataa mlaaniwa aliyemuasi Mwenyezi Mungu. Inabidi kiapo hicho kitamkwe na mhusika kisha kioneshwe...
  8. H

    Mgogoro wa CHADEMA Karatu, kuna mkono wa Masalia?

    Kila mgogoro CDM umekuwa unahusishwa na CDM masalia kama wanavyowaita, wakiongozwa na ZZK. Sasa mgogoro wa Karatu ni mkubwa zaidi, Je kuna mkono wa masalia humo? Au ni siasa za kibabe za babu ndio zinaiua CDM Karatu?
  9. H

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina...
  10. H

    Marando: Nape, Wasira, Sitta, Mwakyembe wana kadi zaidi ya 1

    "Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji. Maneno haya...
  11. H

    Oil chafu alizowaonya Nape zinazima injini ya CHADEMA Leo!

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari zogo kubwa na la ajabu linaloendelea ndani ya CHADEMA,ghafla nkakumbuka "OIL CHAFU ZA NAPE" oil chafu ikiwekwa kwenye injini lazima injini izimike ...alichowataadharisha Nape sasa injini imeanza kumis na soon itaungua na ndo italkuwa mwisho wa gari...
  12. H

    Tanzania yafuzu awamu nyingine ya pesa za MCC: CONGRATS!!

    Tanzania ni miongoni mwa nchi tano zilizochaguliwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia, yaani Millenium Challenge Corporation (MCC) kwa ajili ya kupatiwa msaada wa fedha kwa awamu nyingine tena. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya MCC katika kikao...
  13. H

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima...
  14. H

    AROBAINI ya CHADEMA:Charles Charles

    Na Charles Charles “KUZUNGUKA huku na huko kwa CCM ni kutuiga sisi. Tumeanza muda mrefu baada tu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010”, ndivyo anavyosema Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa. Anaongeza kwamba “Chadema ni mwalimu” huku Chama Cha Mapinduzi...
  15. H

    January Makamba: Waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na wazo la Urais 2015!

    January kawachana kina Lowassa,Membe na wengineo kuwa wote waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na mawazo ya Urais maana watatupotezea muda ...tunahitaji rais wa dot.com atakayeendana na changamoto za leo
  16. H

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    Naendelea kushangazwa na hoja zako juu ya uamuzi wa CCM wa kusimamia Ilani yake ya Uchaguzi. Lakini baada ya kusoma tamko lako la mwisho NIMEGUNDUA UELISHWA TANGO PORI JUU YA NINI KILITOKEA MWANZA, HIVYO SI KOSA LAKO SANA JAPO KAMA KIONGOZI KUWA MAKINI NA UNACHOLISHWA, ULINDE HESHIMA YAKO. Ref...
  17. H

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    HAYA NDIO MATEKEO YA KUKIMBIA SHULE. * * * ***masikini CHADEMA** Nimesoma kwa mshangao sana hoja ya John Mnyika juu ya uamuzi wa CCM kusimamia ilani yake ya uchaguzi ambayo licha ya kuchaguliwa kihalali na wananchi mwaka 2010, utekelezaji wake utaleta mabadiliko katika maisha ya kawaida ya...
  18. H

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Wakuu, Nazitambua juhudi za wafuasi wa babu na mashabiki wake katika kujaribu kumtetea ionekane ni jambo la kawaida sana kwa Dr. W. Slaa kuwa na kadi ya CCM mpaka leo! Juhudi za kutumia social media na magazeti mengine hasa gazeti la M4C(TanzaniaDaima) kujaribu kumtetea Slaa na wakati huo...
  19. H

    Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

    Cdm sijawaona Nape kaongoza mazishi na eneo zima limepambwa kwa rangi za kijani...kulikoni?
  20. H

    Nape na Kinana kuunguruma Arusha leo

    Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.. **kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa...
Back
Top Bottom