Imekaa poa, kwasababu kuna vyombo mbali mbali vya kutatua shida za wananchi. Wananchi hawawezi kusubiri mpaka Rais aje ndiyo wapaze sauti kutatuliwa mtatizo yao. Mama anachofanya ni kuwaonyesha wananchi kuwa watumia the available machineries to resolves issues they face
There is always be an alternative, kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia hawezi kukosa njia, alafu kumbuka pia kuwa sasa hivi ameshakusanya mtaji mkubwa kiasi kwamba anaweza kuhire mtaaalam yeyote kumsaidia kufigure out namna ambavyo tutakuwa tunaruka viunzi vilivyowekwa, teknolojia yetu...
Mkuu yaani hiyo hesabu unapiga kwa mwaka au wiki? Maana kwenye Insta ana followers 6,800,000+ kama kwenye APP waki-subscribe watu 800,000 tu anakuwa anatengeneza Milion 800 kila mwezi. Akili Kunkichwa, angalia kwenye soko watu wanataka nini wape walipie hela kidogo tu kama Babu wa Liliondo...
Nakubaliana na wewe niliwahi pata huduma ya kutembezwa kwenye historical sites pale Bahamoyo
Kwa 20,000 tu na kuna hotel nzuri ambazo unalala kwa 20,000-30,000 tu
Kama yupo Dar basi aende Bagamoyo, kama yuko Mikoa ya nyanda za juu kusini aende kitulo National park.
Ndiyo maana Muda wote wakisimama Bungeni walishauri Bunge liahirishwe,
Soma tena Andiko lao, wamesema hawataenda jimboni watatulia nyumbani kwao Dodoma ndani kwa siku 14
Lakini nadhani Mtalaam hakutoa maelezo ya kutosha, nadhani alitakiwa aseme majengo ya Umma yanahitajika kuwa na lift, na sababu ya kuwa na rift ni kwa ajili ya kuwahudumia watu wenye mahitaji maalum kama walemavu lakini jambo la pili ile ni hospitali, kuna watu wanasukumwa kwa wheel Chair au...
Hiyo bei ya 1500 ni kwa miche yote iliyobebeshwa na ambayo haijabebeshwa?
Nikihitaji miche kati ya 250 - 300 naweza kusaifirishiwa mpaka Tunduru?
Je kuna additional costs zinazotokana na kusafirisha?
Rough Rider = kwa ajili ya kuongeza msuguano, ina vijipele (Studied) Kwa nje, inampa Raha zaidi mwanamke kuliko mwanaume
Bare Back = hii ina ngozi nyembamba sana kiasi kwamba ikitumiwa
Inakuwa kama haujavaa kitu (bahati mbaya hazionekani Madukani) hii huwapa raha pande zote mbili, yaani...
Mkuu unataka watu wenye Taarifa sahihi wajitokeze, watajitokeza wameitwa au kuombwa na nani kujitokeza?
Kama serikali au mamlaka halali itaomba watu wajitokeze alafu kukawa kimya ndio andiko Lako lingekuwa Varidi.
Kwa sasa ishauri serikali ianzishe Uchunguzi wa ukweli wa jambo hili ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.