Search results

  1. Bagrameshi

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Daud wa dsm, john wa mjengon ambaye wayahudi (mafisi) wanamwita Yohana kwa maana amekuja kutengeneza nchi si huwa anajitapa at anainyoosha.
  2. Bagrameshi

    Nataka niache kazi ya ualimu, naombeni ushauri.

    hahahaha we hiyo namba inasomwaje?
  3. Bagrameshi

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Akae kimya yeye ila wengine tutaendelea kusema kwa kuwa taifa ni letu na si la watu wachache. VYETI FEKI BENI YUKO WAPI? WAKUNA ROMA WAKO WAPI? UTAWALA WA SHERIA.
  4. Bagrameshi

    Nataka niache kazi ya ualimu, naombeni ushauri.

    Aaisee kaka ukweli hamna kabisa maana matumizi yamekuwa makali sana ukizingatia familia zetu za kusaidiana yaani umekuwa mtihani mkubwa, ila tokea nianze kuwanza hili nimeanza kuweka akiba mwaka huu january mpaka nimefikisha laki 9 tu
  5. Bagrameshi

    Nataka niache kazi ya ualimu, naombeni ushauri.

    sawa kaka ila si vema kukurupuka nisaidie ushauri wa kiuchumi.
  6. Bagrameshi

    Nataka niache kazi ya ualimu, naombeni ushauri.

    Habari za muda huu wana JF, Mimi ni mwalimu wa shule za msingi, nimefanya kazi hii takribani miaka 7 sasa tangu 2009 hadi sasa. Pamoja na juhudi kubwa sana za kusaidia kizazi cha watanzania bado watanzania hasa watawala wameendelea kutudhalilisha walimu badala ya kutusaidia hasa kiuchumi...
  7. Bagrameshi

    Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

    aisee wakuu hata mimi niko hivo hivo sa mimi tatizo kubwa limekuwa kutopata hamu ya kupiga simu kwa watu na ndugu zangu mpaka niwe na shida nao na mara nyingi wananilaumu kuwa siwapigii simu, muda mwingi niko nyumbani nahisi kama ninatatizo; aisee wakuu tusaidieni.
  8. Bagrameshi

    Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

    sasa wakuu m kuhusu maumbile vp sie wengine wafupi sana, sa inakuwaje? yukioa wafupi kama sisi si tutazaa mbili kimo? tunatamani wanawake warefu ili kubalansi kidogo.
  9. Bagrameshi

    Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

    si umesema wewe huna ajira? analau umejitambua
  10. Bagrameshi

    Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

    hahahaha kaesma awe na kazi na 33+ we andika barua ya maombi
  11. Bagrameshi

    Acha wavurugane ili adui wa taifa hili aanguke. (the end of ccm)

    Wawasalimu wana JF, kwa watanzania wanaojua mambo kwa undani zaidi na wana mabadiliko halisi razima watakubaliana na mimi kuwa adui mkubwa wa maendeleo ya taifa letu ni CCM kwa sababu mara nyingi tumeona mtaji mkubwa wa hiki chama ni tabaka la ambao hawajafanikiwa kupata elimu inayostahili ya...
  12. Bagrameshi

    Mada Star TV: Mitandao ya kijamii ifungwe?

    wambie wamechelewa.. Mitandao sasa ndo dunia ya Leo na si Tanzania ya Leo. labda watanzania tuhame duniani
Back
Top Bottom