Search results

  1. Nkyumu

    Wale wazee wa ‘Ile hela tuma kwenye namba hii’ hatimaye wanaswa na Polisi

    Nami huwa najiuliza kwanini namba zao ni halotel hawa jamaa?
  2. Nkyumu

    Biashara au kampuni inapofungwa kimyakimya bila ya wafanyakazi kujua mwelekeo wao

    Ukiwa umeajiriwa na kampuni binafsi ikaja ikatokea mmiliki wa kampuni halipi mishahara inafika mahali hata ofisi halipii jengo ilipo, landlord anafunga ofisi na mamlaka za serikali nazo zinaongezea makufuri yake (Jiji) . Kisanii mmiliki anafanikisha kuhamisha mali za kampuni ingali kwamba...
  3. Nkyumu

    Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni yawaomba KKKT na TEC kutojibu barua walizopewa na Serikali

    Ya kaisari mpeni Kaisari na ya Mussa mpeni Mussa
  4. Nkyumu

    Tanzania ni nchi ya amani sana, imeipita hata Urusi

    Hahaaaaaaaa tafsiri .......
  5. Nkyumu

    Tanzania ni nchi ya amani sana, imeipita hata Urusi

    Ukiwa positive na maneno yangu utagundua kuna umuhimu wa kuwashukuru maana hawajafika mahali pa kuondoa ustamihilivu
  6. Nkyumu

    Tanzania ni nchi ya amani sana, imeipita hata Urusi

    Tumshukuru Mungu... uelewa wa watanzani wenyewe na mamlaka zote kuanzia viongozi wa serikali na vyama vyote ila waale wa dini washukuriwe zaidi ...
  7. Nkyumu

    Mwanasiasa KITUKO KULIKO WOTE, Huyu hapa

    Atakufuta huyu Mzee Tendwa fanya utani naye tu.........
  8. Nkyumu

    Alijaribu kwa Kagera lakini mmmh.....

    Nimesikiliza hotuba ya JK kule Kagera ....akiwapiga mkwala wafanyakazi wa uhamiji na swala la wageni kuingia Tanzania na kuishi kwa vibali vya Local Goverment Officers....Akasema wasiwe waoga na kuacha ulegevu hivyo wafanye kazi zao kama inavyotakiwa la sivyo watafukuzwa wote wanaoshindwa...
  9. Nkyumu

    Ubungo mwaka 2015

    Ndoto za mchana kweupeeeeeee Labda tuletewa net group tena ...hiii ya speed kali tu miaka mingapi tumeisikia na imeanza kujengwa vituko vinaendelea
  10. Nkyumu

    Ivi madame Ritha alipataga ajali ya nini?

    Record za nyuma ukiwatenganisha hao zinasemaje?
  11. Nkyumu

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Kama ndio hawa aliokuwa nao jana basi huu ni usanii kweli maana wenye mwelekeo wa uteja wapo wawili tu ....hao walienda kuiona ikulu walitaka kuingia enzi za Mwl Nyerere
  12. Nkyumu

    Kiongozi wa namna hii hatufai

    Hapo ndipo uwezo wake wa kufikiria uliishia.. >>>maana hana wa kumnunulia simu... >>>Pombe wanakunywa wao wakiwa kule Dodoma na kujaza bar na vilabu vyote ..... >>>Vocha anawekewa na ofisi ya bunge haitaji huduma ya NIWEZESHE Msamehe bure hata kuwepo mwaka 2015 kishasema uzee nao tatizo ....
  13. Nkyumu

    Mwakyembe: Siku 14 Zinatosha kuwanasa wasafirishaji Dawa za kulevya

    Alikuwa wapi siku zote au kishapewa listi sasa anataka kujifanya ndio anaanza kuwatafuta .... SIASA chafu hizo aje atuambie na waliomtenda wakati ule kina nani?
  14. Nkyumu

    Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

    Mwanamke kugegedwa ni jambo analojua yeye hutakiwi kulifatilia maana binadamu wote ni dhaifu....ushaambiwa kipimo cha vinasaba kimeonyesha 48% kama sikosei ya watoto wamedanganywa baba zao Hata wewe nina uhakika ushagegeda nje sana ... Mara nyingi anayemhisi mwenzie mwizi yeye huwa mwizi pia
  15. Nkyumu

    Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

    Ukiwa na mwongozo huo nilikupa mwanzo Kaeni chini na kuelezana na kuchambua na kumaliza matatizo yenu ...... Mwache mtoto wa watu asome kwanza ila usisitishe huduma maana atakufaa baada ya masomo yake
  16. Nkyumu

    Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

    Unampenda sawa... Una wivu sawa.... Utoto nao sawa..... Mapenzi sio kihivyo .... 1.Usichunguze bata kala nini hata siku moja hutamla...inaitwa simu ya kiganjani ni mali ya mtu kwanini usome msg zake.... 2.Mawasiliano ni moja ya nguzo za mapenzi ...fikiria angefanya hivyo yeye wewe...
  17. Nkyumu

    Dawa za kulevya na ukimya wa Serikali

    Tumeshangazwa mno na ukimya wa Serikali kuhusu janga kubwa la biashara ya dawa za kulevya ambalo limeikumba nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Hatutaki kuamini kwamba Serikali haina taarifa za kuwapo kwa janga hilo hapa nchini, wala kuamini kwamba Serikali hiyo bado haijatambua ukubwa wa tatizo...
  18. Nkyumu

    CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

    Ndio utamu wa siasa unapoanzia .... Arusha matokeo yalikuwa Four o'clock Kagera je?
Back
Top Bottom