Pongezi kwenu kwa kuwa mstari wa mbele kutuhudumia wananchi. Mungu ni mwema, kwa wale wenye nia mbaya na JamiiForums washindwe kwa nguvu zote na wanyong'onyee kama mkia wa fisi
Big up uongozi....JamiiForums
Hakika nakupongeza kwa moyo wa dhati kabisa. Karibu tuutimize mpango wa mungu.......naamini wako wengi nyuma yako umewaonyesha njia......karibu mkuu...."salute"
pole mkuu, hakika unatakiwa kuwa na cd ya window 7 bootable ili uweze kufanikisha zoezi hilo. kwa kuwa unaweza kuaccess internet na kama unakuwa na bundle la kutosha maana win 7 mara nyingi inaanzia 2. something Gbs.
kudownload window 7 nashauri uwe na software kama vuze, utorrent, bit torrent...
ni muda si mrefu nimekatiza mitaa ya msikiti wa nunge hapa mjini morogoro na kukuta baadhi ya kikundi vidogovidogo vya waumini nje ya msikiti wakijadili tukio hilo lililomkuta shekh, kwa bahati nimepata kuongea na mtu mmoja nje ya msikiti huo na kukiri kuwa ametoka hospitali kumwona ndugu yake...
kuupdate bios ni muhimu hasa pale computer yako ikiwa umeadd some new hardwares ambazo huhitaji new updates ambazo zitafanya hardware hizo zifanye kazi pasipo kutoa error messages. lakini hatari yake ni kwamba iwapo ukianza zoezi hilo hakikisha mtandao wako uko stable sana na umeme wa uhakika...
Jamani hivi huyu jamaa ni mzima kweli? halafu ndiye aitwae mchungaji je wafuasi wake watakuaje? na je akipewa dhamana ya kuongoza nchi hii itakuwaje? ukweli kabisa watu hawa ndio wanaoharibu amani ya nchi hii na kutuvuruga wananchi kwa njaa zao za madaraka.
hatupo arusha kimwili lakini tunahuzunika pamoja katika tukio hili la kikatiri lililofanywa na watu wasio na utu. tutaendelea kuchukia matendo yenu ya kupoteza maisha ya watu wasio na hatia. tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu. cdm daima
tatizo la serikali yetu ni kufanya wananchi ni wale wa enzi zileeeeeeee, wameficha mengi huko mtwara kwa kutoa taarifa zisizo na ukweli kwa yale yanayoendelea huko, sasa wanataka kutoa taarifa tena zisizo za kweli huko arusha, hatima ya mlipuko kanisani hatujui, jamani tumechokaaaaaa, killing...
hahahaaa., mapenzi/uhusiano ni mental science the way people perceive one another is the way they either open or close the way towards marriage. Not always people get into r/ship for the case of marriage, consider other factors as comitment, passion and intimancy and therefore not only a man to...
mbali na kwamba watanzania tunaumia lakini naunga mkono mgomo huo ili serikali ione kuwa kwa sasa wananchi tunaishi katika mazingira magumu mno huku wao wakineemeka tu, hii inaonyesha hata wakija na majeshi yao wananchi wanaweza kuja na mawe tu na kushinda. tumewachoka hawa viongozi bwana
mkuu sehemu niliyopo ni porini mno kiasi kwamba mtandao angalau ninaoweza kuacess internet ni tigo tu nayo ni edge, nina modem zote lakini hazina faida katika mazingira haya na ukizingatia kutumia internet full time kwangu ni kawaida so with limitations najiona mfungwa. anywe nimeyakubali yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.