Search results

  1. H

    Jengo linalomilikiwa na NSSF linanuka?

    Hivi majuzi nilikwenda kuomba kazi katika gazeti moja jipya ambalo ofisi zake ziko kwenye ghrofa linalomilikiwa kwa sasa na NSSF. Karibu kila korido ilikuwa na harufu mbaya na kali ya kinyesi. Nikajiuliza kulikoni shirika lenye jina na umaarfu kama NSSF kushindwa kuwa makini katika kutunza...
  2. H

    Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

    Bunge la walafi na waroho na wabinafsi wakubwa Afrika PENGINE tufanyeni utafiti kuhusu ni wabunge wa nchi ipi Afrika ambao ndio wanaoongoza kwa uroho, ulafi na ubinafsi. Na wakati huohuo tuangalie Spika Kigeugeu na mbelenyuma mkubwa kuliko wote Afrika huku tukizingatia kuwa haijawahi kutokea...
  3. H

    Watanzania wengi hutegea kazi Ijumaa

    Utafiti usio rasmi unaonesha kuwa Watanzania wengi huwa hawaendi kazini siku za Ijumaa isipokuwa kwa wale walioajiriwa katika sekta binafsi. Wale wanaokwenda kazini husemekana huenda kujionesha tu. Wakati huo huo kilio cha Waislamu cha kutaka siku ya Ijumaa iwe ya mapumziko kimewafikia viziwi...
  4. H

    Elections 2010 HATUDANGANYIKI kuwa kauli mbiu ya Waislamu kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kususia FUTARI za kisiasa na za Wamarekani. VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamejifungia katika Msikiti wa Mtambani wakiandaa tamko muhimu katika historia ya Uislamu nchini. Shur aya Maimamu imekuwa ikipitia kwa makini kila sentensi na aya zinazokusudia kuwaunganisha Waislamu dhidi ya wale...
  5. H

    Waziri kadhihirisha:ni kweli wizara ya habari haina kazi, na watanzania hatuhihitaji

    Tunapenda kumkumbusha Waziri wa Habari kuwa TBC ni shirika linaloendeshwa kwa kodi za Waislamu na Wakiristo na asituletee hoja za ovyoovyo eti kwamba Watanzania tumeshavuka kwenye suala la kuulizana nani yuko shirika hili na nani yuko shirika lile. Sir George, hi sio Uingereza ambako...
  6. H

    ZAFA na Polisi Dar es salaam

    WAISLAMU wanachotaka kukifanya sio maandamano bila ila ni zafa. Na zafa katika Uislamu ni sehemu ya ibada kwa watu kujumuika pamoja toka misikiti mbalimbali katika wilaya au mkoa mmoja ili kuja kwenye msikiti mkubwa au uwanja mkubwa na kufanya ibada hiyo. Kukataza zafa kwa hiyo ni sawa na...
  7. H

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    KILE AMBACHO MIKOA MINGI YENYE WATU MARADUFU YA WAZANZIBARI inakitarajia kimeanza kufanywa na Wazanzibari baada ya Waswahili huko kuchoka na tabia ya Dar es salaam kutaka kutamalaki juu ya kila jambo hata yale ambayo yangeliweza kufanywa uzuri na eneo au mkoa wenyewe bila kuingiliwa na serikali...
  8. H

    Tanzania investigates reports of air crash bodies

    Air Yemen kuitangaza Mafia MAITI waliopweleza toka visiwa vya Komoro hadi ufukwe wa Mashariki ya kisiwa cha Mafia kilichoko chini ya kisiwa cha Unguja na juu ya kisiwa cha Madagascar huenda kikaanza kujulikana kutokana na harakati ya kuopoa na kisha baadaye kuwatambua maiti wanaookotwa...
  9. H

    Magari ya kifahari ikulu, na serikali..kenya na rwanda waachana nayo!!

    HAPA Tanzania kazi. Maana viongozi wetu wachovu sana wanaamini kwamba heshima na utukufu wao unatokana na kuwa na magari ya kifahari na ofisi zenye eyakondishenaa eti na vimbwanga bwanga vingine nyumbani, nyumba ndogo na maofisini. Wengine ninasikia eti wana 'lifti' zao wenyewe na chakula...
  10. H

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Mufti huyo na wenzake BAKWATA wanategemea ruzuku kutoka CCM wataweza ? Hakuna shughuli yoyote ya kiuchumi iwe ni shule, vyuo, hospitali, majengo, viwanja, wakfu, mfuko wa zaka na mengineyo kama hiyo ambao jamaa hao wameweza kuanzisha na kuiendeleza bali wao ni kula, kula, kula tu nani...
  11. H

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    SIASA, SERIKALI NA Mahakama ya Kadhi Kama ni kweli vyema. Kama sio kweli Waislamu harakati zinaendelea, sote Wakiristo na wasio na dini na wapenda haki tuko nyuma yenu. Maana tunajua mafaniko yenu ni mafanikio yetu pia. KITENDO cha serikali kutaka kuichanganya hoja ya Kadhi na kazi za...
  12. H

    Ujenzi na Siasa UNIVERSITY OF DODOMA

    Kuna watu wengine bwana very cynical. Eti kuna jamaa anasema University of Dodoma imejengwa ili kuwatamanisha mawaziri na watumishi wengine wa juu wa serikali kuhamia haraka huko maana visichana vya UDSM na IFM na CBE ndio kikwazo kikubwa kwao. Kuna ukweli wowote katika hili ?
  13. H

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Viongozi wa Kenya wameamua kuuza magari yote ya kifahari na fedha itakayopatikana itatumika kwa shughuli mbalimbali za kuwasaidia masikini ikiwemo wale walioathirika na kuhama kutokana na mapigano mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Badala ya magari ya kifahari sasa viongozi wa nchi...
  14. H

    Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    Hebu ona matunda ya haraka ya maisha? Hivi kweli nyie vijana tunawapeleka vyuoni kusoma au kwenda kufanya mapenzi ? Na mkishachafuana huko hivi kweli mtapata wanaume watakaowaheshimu. Mwanangu, tafadhali usiniangushe kaa kama ulivyokaa nyumbani na mumewe akukute ukiwa bado hujaingiliwa na...
  15. H

    Liyumba aachiwa lakini PCCB wambeba...

    Hakimu kesi ya Liyumba kuchunguzwa ? Idara husika inafuatilia kwa karibu suala la kuachiliwa kwa Liyumba na mwenzake katika kesi iliyoitia taifa hasara ya mabilioni kutokana na uzembe na pengine mchezo mchafu wa rushwa. Inavyoonekana sasa kinachofuatiliwa ni kama kuna rushwa yoyote...
  16. H

    Kikwete to USA (May 2009)

    Sawa ili mradi asiwe kaenda huko kuiuza Tanzania na kuifanya kama Pakistan ilivyokuwa leo hapo baadaye. Hawa jamaa tunawajua. Hata kama kuna blaki kigodani bado anaendeshwa na matycoon wa Kiyahudi na wengineo walioshika uchumi wa nchi hiyo. Aste aste, tusijidanganye kwamba mawazo na mtaji...
  17. H

    Serikali Bado inaongozwa na Rostam, Lowassa na JK

    CCM na njaa Tanzania CHEKI! Kufuatia kilio cha njaa kama kilivyoanza kuanguliwa na Bw. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda bakuli la msaada litaanza kupitishwa ndani na nje ya nchi. Kitakachotokea ni kwamba tutapewa chakula bure. CCM itafanya chake. Tenda ya ugawaji na uuzaji wake atapewa baniani...
  18. H

    For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

    Kwani mlikuwa hamjua kuwa nchi imejaa wanaharamu hata kabla ya vita vya Kagera? Na sio kiutani ni kikwelikweli. Na watu kama hawa hawana aibu wala 'backbone' ni kwa kiswahili fasaha 'makuwadi na matoashi' wasio na chembe ya soni wala haya. Hivi kweli hata kama ulilishwa fadhila bado unaweza...
  19. H

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kama Mafuta ni ya Zanzibar tu, basi Zanzibar ipewe asilimia 2.5 ya rasilimali zetu Madhali Wazanzibari wako milioni moja tu na Watanganyika wako milioni 40 ili kufuata mgawo wa 'prorata' basi wao watastahili kupata asilimia 2.5 ya chochote kile kinachoingia kama mapato na misaada katika...
  20. H

    The road towards 2010 Elections

    Eti miaka na miezi hii kuna wanasiasa toka CCM na Upinzani wanajipanga foleni kwa Burushi maarufu nchini kupokea mikopo ya riba nafuu au misaada? Na wengine ni Mawaziri na wakuu wa vyama vyao. Je, wenye vyama vya siasa mnafahamu hili?
Back
Top Bottom