Search results

  1. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    nimekupata ahsante
  2. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    thax sana mmenisaidia
  3. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    i mean, i don rush into marriage
  4. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    yah siwezi sema sikuumizwa niliumizwa sio kidogo, namm sipendi kufanya the same still hatujafika mbali but wala kueka komitment yoyote lakini namuona yuko namuonekano positive, niliingia nikadhani labda nikiwa nae karibu nitamzoea then nitampenda, but nisipokuwa nae nammis nikiwa nae karibu ooh...
  5. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    i am not rushing to marriage but was wondering supoz he suggests about marrying me and then still sijamaccept will i learn kumpenda, i admit nilifanya kosa kuwanae ktk mahusiano koz i thot nikiwa nae karibu nitampenda kama baadhi ya watu wanavosema
  6. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    ahsante i will give feedback
  7. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    blue g, ahsante but naona the guy is gud but my feelings is not there so huwa nasikia people wanalearn to love ndomana nikadhani i can do that, am rush into marriage.
  8. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    mbona umenitisha, samahani unaeza nambia why, please! am 25 going on 26 yrs old.
  9. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    its not kwamba kanambia anataka kunioa lakini ndivo navoona na mimi pia sitaki kurush kwenye marriage navomuona hana tatizo natamani nimpende but i think my mind inasay yes but immotionally no i mean my feelings ndomaana nimeuliza is it possible mtu kulearn to love? maana nasikia watu wakisema...
  10. L

    msichana anaweza kujifunza kupenda?

    am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu...
  11. L

    You are available for 105%. Ntahamasikaje kukuoa?

    kwanini wakaka tu ndo wanawakinai wadada
Back
Top Bottom