Search results

  1. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

    Acheni dharau KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!
  2. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

    Karibu Jamii Forums bwana mdogo, pole kwa kufanyiwa dhiaka humu jamvini maana C6 ndiyo kaka mkuu humu JF tech lakini usife moyo we kaza mwendo. utafika tu KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
  3. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Turn Off Cell Phone Signs

    Hayo maroso roso yanafanyika sana Makanisani, wenzetu waislam wanazuia hayo mambo so huwezi mkuta mtu anaongea na simu kwenye Ibada
  4. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel Guru...!!!

    We mjinga Wamavoko sasa unalingia kidubwana cha waasia kupata access wakati ulimkandia jamaa hapo juu kuwa hakuna kauchochoro tukaamua kula kimya we kujua tu kuwafyonza Airtel tayari umeripuka na screen zako uchwara KRAPKA DAvINOOO
  5. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Msaada wadau kuhusu nokia xl

    Mkuu hilo lilisemwa kabla kuwa watatuburuza hawa watu maana hatuna jinsi. Hawa miDcom nao wako wapi watupe bei stahiki?
  6. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel tunneling now

    Bora umekiri kwamba kuna watu nyuma yako maana kiuhalisia hicho kishubaka ni kazi ya wale jamaa wa Bara Asia, mlichofanya ni copy & paste na kubadili muonekano tu ili isiwe rahisi wengi kuking'amua. Katika sinia lako lazima kina chief-mkwawa, Shaffin Simbamwene, @C6, Joe Nyandigira, Nyasiro...
  7. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel tunneling now

    . Nilijua wataibuka watu kama wewe eti Authetication code upuuzi mtupu!! Nyie ndo mnafanya maisha yawe magumu kwa ujinga wenu, kama una trik kamua kivyako KRAPKA DAVINOOOO
  8. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Msaada kwenye Tuta: Kifurushi cha unlimited chenye spidi ya kasi

    Kama kuna watu wanasubiri wenzao wasonge ugali ili wadowee wewe ni miongoni mwao usiwe mwepesi kutoa "karibu" kwa kitu usichokitolea jasho KRAPKA DAVINOOOO
  9. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Msaada kwenye Tuta: Kifurushi cha unlimited chenye spidi ya kasi

    Unlimited ya ukweli utapata kwenye machimbo tu so usitegemee bundle isiyo na limitation. Michepuko ipo tele kwa wenye akili voda na airtel wote wanapenyeka kirahisi KRAPKA DAVINOO
  10. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Software ipi imetumika?

    Mie huwa natumia screen grabber kwa BB yangu
  11. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel Guru...!!!

    Huku Dar tunapata Edge tu
  12. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel Guru...!!!

    Ilibidi iwe hivyo buT haikufaa kitu maana watu waliendelea kunong'onezana mpaka limebumburuka. KRAPKA DAVINOOOO
  13. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel Guru...!!!

    Hakuna tena usalama wa haya mambo kilichobaki kila mtu ale kivyake. KRAPKA DAVINOOOOOO!!
  14. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Tunnel Guru...!!!

    Mwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru
  15. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    TroubleShoot your TunnelGuru

    Watu bado tunaendeleza libeneke aahaaaaa!!!! Kwa sasa no spoon feed krapka davinooooooooooooooooo!!!
  16. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    Kwa wale wanaohitaji free net

    Kama kawaida sipo kibiashara hivyo wale waliozoea spon feed wakae standy by niwape mteremko kidogo but siyo free maana bundle linahusika KRAPKA DAVINOOOOOO!!!
  17. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    TroubleShoot your TunnelGuru

    Wakuu vp mbona mmeniacha njiani? Au nami nimekuwa galasa? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  18. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    TroubleShoot your TunnelGuru

    Majembe kama kuna maufundi ya unlimited ya bis kwenye kipakato tujuzane. Nasisitiza ni Bis data plan siyo ile ya Pay per use Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  19. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    TroubleShoot your TunnelGuru

    wale watu wangu kitu chenu hichooo- kama hujaelewa basi ipotezee tu maana haikuhusu Sitaki Maswali wala PM JF upload imenigomea so wahitaji pakueni hapo chini http://ge.tt/api/1/files/5ujvFzB1/0/blob?download
  20. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

    tunnel guru hiyooooooooo nayoooo inamfuata pd

    Huyu Sadru ni sypy tu yupo humu kunusanusa. Kama kuna cha kuwapelekea mabwana zake!! Si unamuona kafungua nyuzi dabo dabo lengo kutu nga'nga Wahanga wa magari yaliyobutuka
Back
Top Bottom