Search results

  1. B

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    Jamani tukubaliane kwa pamoja kuwa hatuna serikali kwa sasa. Kama serikali ipo ni kwa nini iwakubali watu wa nje waje wawatawale wenyeji ambao wameishi kwenye maeneo yao miaka nenda rudi. Je shria ya ardhi inasema nini kuhusu wageni kmiliki ardhi Tanzania? Ni kwa nini tunaweka sharia na hatuzifuati?
  2. B

    Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Mleta mada Usihangaike kitetea CCM. CCM inajitetea yenyewe kila siku kwa maovu yanayotendeka Tanzania. Damu za raia zinazomwagika kila siku zitaamua mwisho wa CCM utakuwa lini. Wewe tulia tu utajionea.
  3. B

    Sera ya CHADEMA ya Majimbo ni mzigo kwa wananchi - Wassira

    Yap! Mzee ameanza kusikia na kuona jinsi kitumbua kinavyitikisika. Yeye kwenye akili yake alikuwa anafikiri watanzania watalala milele wakiimba "CCM yajenga nchi" Kumbe kina mama walishajifungua Mbowe na Dr. Slaa. Kwa sasa CCM haijengi nchi ila CDM inajipanga jinsi ya kujenga nchi. Nguvu ya umma...
  4. B

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    Yaani hawa polisi wamekidhiri. Kila mtetea haki auawe? Yule Mungu tuliyefundishwa tangu utoto kumwogopa amehama Tanzania? Jamani kama wewe ni mzazi unatoka kumfanyia haya mzazi mwenzio? Unatoka kumfanyia Binadamu aliyofanyiwa Dr. Ulimboka, Ally wa Morogoro? Unaenda kumbaka mama na kumtoboa...
  5. B

    Imamu Kortini Kwa Uchochezi

    Nyinyi mnapoenda kutawaza ------ misikitini mlishasikia mkristo anayelalamika? Waacheni wakristo waamini wanachoamini hiwahusu. Kama wanatembea na mikebe kusafisha ------ ni juu yao na imani yao. Usimkashifu yeyote kwa imani yake. Wewe jishughulishe na imani yako na maisha yako inatosha. By the...
  6. B

    Imamu Kortini Kwa Uchochezi

    Mjinga wa ukweli ni mtu ambaye hana elimu, hospitali, barabara, makazi, ulinzi, nk. Kazi kuzunguka mitaani na malapa siku nzima kusubiri mapumbavu mijizee yenu iwaambie kawauweni mapadre, maaskofu, na walei na mnakwenda kweli. Nafikiri wote mmepagawa na majini dini tu haiwezi kuwapeleka mbali...
  7. B

    Wapelelezi Wa Marekani Waanza Kukamata Watuhumiwa

    FBI? Yote ni udanganyifu mtupu. Damu ya huyu padre na wengine wengi itaendelea kuwasakama viongozi wazembe mno wa nchi hii hadi wazikimbie hizo office kabla hata hawajakimbizwa. Tutajionea wenyewe tu.
  8. B

    Mh. Waziri Magufuli kuhamishiwa Wiraza ya Elimu na Ufundi?

    Hiyo mifereji anajenga tena feck tu badala ya barabara ndiyo unaona anatenda? Nenda nchi za wenzako hata hapo Nairobi tu ukaone ujenzi wa barabara kisha ulinganishe na hizo za magufuli wako. Tuache uzembe tunaangamizwa na viongozi wetu wasio na uchungu na taifa. Kama hatutawawajibisha...
  9. B

    Wachawi wa elimu yetu ni hawa

    Tangu nizaliwe sijashudia Tanzania ikiwa na njaa ya kiongozi kama ilivyo leo hii. Hadi inatia aibu. Raisi ameshindwa katika secta zote. Sheria hakuna, elimu sifuri, matibabu yai, miundombinu usiseme. Tunaenda wapi watanzania? Yaani hadi inatia huruma nchi haina waziri hata mmoja vilaza kibao...
  10. B

    Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Kweli Tanzania ina watanzania vipofu. Mungu ibariki nchi yetu. Tubariki tulioumizwa sana na hii serikali dhalimu. Tusaidie tujikokote sasa kuelekea mabadiliko kwani inatosha mpaka hapa. Mpe mwanga wa milele mwalimu huyo aliyeuliwa hapo juu na wengine wengi wasio na idadi. Mungu imettosha tusadie...
  11. B

    Imamu Kortini Kwa Uchochezi

    Sasa matibabu India anafuata ya nini tena kama ni "wauweni maaskofu, wauweni mapadre, na hata mlei" Kumbe kifo ni kichungu kwake lakini kitamu kwa maaskofu, mapadre, na walei? Yaani Tanzania ina wazee wapumbavu sikujua!
  12. B

    Rais Kikwete ahutubia Taifa - Mwisho wa Mwezi Februari

    Posa mtu anatumia akili. Wewe unaona akili yeyote kwenye hii hotuba? Huyu jamaa anahitaji kupimwa akili nadhani kuna kitu hakiko salama kwenye ubongo wake. Huwezi kuichezea nchi kama watoto wanaotumia mpira wa malboro kwa hotuba na uongozi wa kipuuzi namna hii!
  13. B

    Rais Kikwete ahutubia Taifa - Mwisho wa Mwezi Februari

    Kikwete wewe ni tatizo kubwa Tanzania kuliko matatizo yote. You need to go. Just go someplace and leave our country in peace! You are such a disgrace to our nation!
  14. B

    Kipima joto: Wanaoigawa nchi kwa ukanda wachukuliwe kama wahaini?

    CDM inafanya kazi yake kwa ufanisi mkubwa na hii inaitisha CCM. Yaani mtu anakuja hapa hata Kiswahili chenyewe tu hakiwezi kwa sababu CCM imeua elimu. Sasa watetezi wake wataiteteaje ili hali hata elimu ya msingi kabisa haipo? Hamwoni kuwa CCM inajicontradict yenyewe kwa kutetea ujinga badala ya...
  15. B

    Dr. Slaa aambiwa asihangaike kwenda Mbeya; ajiandae kuchukua Ikulu 2015

    Tanzania inabadilika japo taratibu. Ole wao wale wanaofikiri vinginevyo kwani watajuta.
  16. B

    Wakuu, bibi yangu ana kadi ya CHADEMA

    Huyo bibi ana akili kuliko Kikwete, Pinda, Lowasa, Nape na wengine wengi. Mungu amzidishie afya aione nchi yake aliyoipenda ikiondolewa mikononi mwa mafisadi wasio na utu wala heshima kwa wazee walioitumikia nchi yetu maisha yao yote! Wameua elimu yetu ni lazima tuwafundishe somo 2015.
  17. B

    Hivi binadamu akishaitwa POLICE kwa nini anageuka kuwa mnyama??

    Kama kuna polisi anayesoma humu ninamwomba ajiepushe na kilio cha wajane na watoto yatima. Hata maandiko yanasema wakinilia hao nitasikia kilio chao. Mambo ya kuwabambikizia makesi wajane eti mpate rushwa ni laana kubwa sana kwa jeshi la polisi na hii inazidi kuwachanganya polisi kila siku. Hapa...
  18. B

    Tume zilizoundwa in 2012 na matokeo yake

    Tume ya kuchunguza matumbo yao na jinsi walivyojishibisha na raslimali za nchi yetu huku wakikusanyia na kulundika Uswiz. Mungu atawapasua hayo matumbo mmoja baada ya mwingine nyie subirini tu na huu ukwimi waliobeba na kuusambaza bila huruma!
  19. B

    Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

    Ndiyo maana wakijenga reli sisi tunajenga mfereji. Wakijenga highway, sisi tunajenga vichochoro. Kisa? Elimu ndogo!
Back
Top Bottom