Search results

  1. stineriga

    Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Ethiopia ameingia kwq vigezo gani Uchumi mbovu Nchi vita kila kukicha
  2. stineriga

    Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

    Waongeze kiingilio waweke elfu hamsini asiye na hela abaki nyumbani
  3. stineriga

    Wajibu wa mzazi ni kukulea, na kukusomesha mengine ni yako

    Kwasababu umeotea kijikazi au kibiashara na kimaisha umepata usione wengine wazembe na wajinga
  4. stineriga

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Mwanaume akigundua amesaltiwa things will never be the same again. Kubaliana na hali hiyo izoee tu. Angalizo usije rudia tena ,sababu matokeo yatakuwa mara kumi yake.
  5. stineriga

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Yanga wananunua hadi mechi za kimataifa pumbavu 😡
  6. stineriga

    Je, naweza kujitolea kama Tutor Assistant?

    Inawezekana ila uwe na conection
  7. stineriga

    Mtaalam wa mifugo natafuta kazi

    Hujasema unapatikana wapi Umri wako Jinsia gani Watu huwa tunaangalia vitu hivyo kwenye kuajiri watu
  8. stineriga

    Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  9. stineriga

    DOKEZO Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

    Anzia chini fanya chochote halali cha kukupatiq riziki. Uza karanga, uza mitumba, uza mama ntilie. Endelea kuomba kazi ipo siku utapata. Hakuna kukata tamaa. Hakuna kujidhuru.
  10. stineriga

    Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Unajua kutumia computer?
  11. stineriga

    Naomba ushauri na connection ya kazi

    Weka namba nikupigie
  12. stineriga

    Msaada: Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    Una shida halafu unaweka namba haipatikani haupo serious wewe
  13. stineriga

    Floyd 'Money' Mayweather anunua cheni yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.3

    Watu weusi tuko na maonesho sana ya pesa ya kijinga
  14. stineriga

    Christian Ronaldo atastaafu kwa aibu sana

    Unaeza enda ukapigwa wewe na ukapewa cae ya trespassing mbwaa wewe
Back
Top Bottom