Kwa mawazo yangu tabia ya mkeo kukuibia pesa inachangiwa na mambo yafuatayo;
Kutokumshirikisha mkeo katika mipango yako ya Maendeleo
Kuwa msiri kwa mkeo hasa kwa kipato unachopata katika mshahara wako kama wewe ni muajiriwa
Kutokumpa mkeo majukumu hili litamfanya asijione kama na yeye ni...
Zifuatazo ni kero ambazo ningependwa zisemwe bungeni
Wafanyakazi kutoka nje wasiokidhi viwango ukilinganisha na watanzania katika sekta ya madini
Viongozi wa nchi kutibiwa au kufanyiwa uchunguzi wa afya nje ya nchi hata kwa magonjwa madogo badala ya kutibiwa na madaktari wetu
Mahusiano yote ya Mapenzi kabla hamjaoana yamejaa asilimia kubwa ya uongo mwisho wa yote ni pale tu mnapofunga ndoa na kuishi pamoja ndipo ukweli wa kupendana unapodhihirika wazi.
Malipo ni hapa hapa Duniani,Haya yote yanasababishwa na Viongozi wetu kukosa Uzalendo kila wakati wanakuwa na wasi wasi na hali ya watanzania ilivyo hivi sasa kwani mawasiliano ya utandawazi Tanzania imekuwa kama kijiji.HUWEZI KUMDANGANYA MTANZANIA SASA HIVI KWA LOLOTE.TUMUOMBEE DR. ULIMBOKA...
Nasikitika sana kwa wasomi wetu wa Tanzania kukosa Uzalendo nikiwa kama mlipa kodi kwa kila mwezi.Mimi nafikiri mfumo wetu wa elimu kwa sasa hivi sio mzuri kwani serikali haiwajibiki kwa wananchi wake kuwapatia elimu ya bure kama ilivyokuwa zamani.Nakumbuka wakati nasoma tangu usafiri wa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.