Kina Slaa na Mbowe sasa wako wengi na km unafatilia kwa umakini matamko yao yemeshatolewa siku nyingi na bado yanaendelea kutolewa. Kwa mfano tu fuatilia Jenerali on Monay wiki hii. Kwa hiyo wako nyuma yenu wana Mtwara.
Acha CCM wamalizane wenyewe. Jamhuri ni mali ya Lowasa na Habari leo wanatumia hela za watanzania kueneza chuki dhidi ya watanzania. CCM na serikali yake ndio wanazidi kujichimbia kaburi lakini wa.tz wawe makini na maadui wao hawa CCM na serikali yao
CCM ni chama cha kufa tu. Habari leo linatumia hela za watanzania kueneza uongo ambao mMtanzania wa leo sio yule wa jana. Haya ni maneno ya walioishiwa fikra na nawashauri wana mapinduzi wa sasa wasusie kusoma gazeti hilo kama ilivyo TBC.
Nami nimekuwa mpenzi wa StarTV kwa muda mrefu kutokana na vipindi vyake kuwa professional. Lakini hivi karibuni wameanza upuuza wa kukifanya kituo hiki kuwa mali ya CCM kwa kuonyesha vipindi vya kushabikia CCM. Nadhani hii ilitokana na Boss wa Sahara Media kuukwaa uenyekiti wa CCM (M) Mwanza...
Tunahitaji kuongeza juhudi za makusudi kuimarisha kiingereza kwani kujua lugha zaidi ya moja ni faida kubwa kwa mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla. Kiswahili ni kwa ajili yetu sisi (tz) lakini ukitoka nje na hata mawasiliano mengi ya kiuchumi na mambo ya kigeni tunahitaji ku-improve kiingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.