Search results

  1. G

    Hivi kati ya Lissu na Werema nani Mwanasheria Mkuu?

    George Boniface Simbachawene Mwataguluvala mbunge wa Kibakwe na naibu waziri wa Tibaijuka ndiye aliyemwita LISU a Judge to be...
  2. G

    Hivi kati ya Lissu na Werema nani Mwanasheria Mkuu?

    Hahahah unless hujui maana ya kilaza...
  3. G

    Hoja za Kamati ya PAC zinavyokinzana kuhusu Escrow akaunti kama ni fedha ya umma

    Kama hujahongwa lakini..ila huwa ni hivi Auditing reports huwa inakitu kinaitwa opinion(Maoni) ambayo lazima yawe impartial(huru) kwa chombo kingine kujiridhisha hivyo matumizi ya lugha za Auditing huwa sio conclusive statement ila binding statements na huwa zipo hivyohivyo kama ulivoweza kuiona...
  4. G

    CBG, Mirambo Sec

    Hahahahahah kweli bhana mimi pia nilisole nikapiga div 11 ya 10 miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tunapiga pindi za kufa mtu pale opposit na uhazili,shule ya Kanyeye na maeneo kibao tu ikiwemo Boyz hahahah...Pia wali wa 200/= pale kwa Mama Mada ulikuwa haukauki yaani usiposhiba msosi wa Mzee...
  5. G

    yaani wenzako wako darasani we nafanya ngono?

    JK hakukosea aliposema "Wanafunzi wanaopata mimba ni kutokana na vihelehele vyao"..Sasa nimeanza kuamini
  6. G

    Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

    Ukijihisi unaakili mbovu jipime kwa hawa Interahamwe wa serikali mbili ukiona mawazo yako na yao yanafanana ujue umeshakuwa na kichaa na unaishi uraiani kimakosa
  7. G

    Operesheni tokomeza: Mh. Assumpta Mshana awaponda upinzani wenye nia mbaya na serikali ya CCM

    Yule mbunge ni kama shetani vile..eti anajiita mchungaji sijui mchunga wa mumewe!!!
  8. G

    Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

    Mbunge wangu ni mbuluuuuuula hata kama pinda akizaa na mkewe na kumtafuna yeye mwenyewe hawezi kupiga kura za kumtoa
  9. G

    CHADEMA kususia Mkutano wa Maridhiano wa amani Arusha wapo sahihi!!

    Wanadhani CDM ni Mangamba ambayo hudhani kunawa uso na kuacha haja kubwa imenata makalioni ni usafi wa kuvaa hata suti...
  10. G

    Ufafanuzi; Waziri Mkuu alilidanganya Bunge na Taifa

    Kwani unadhani kwa Sura mbovu kama ile angesema ukweli?Tangu lini Ccm ikasema ukweli kwa watu wake?
  11. G

    Kuuliza si ujinga jamani.. Wizara ya nishati na madini ina manaibu waziri wangapi?

    Inategemea kama hawapo swali lazima lijibiwe na yeyote anayekabidhiwa kukaimu especially kama wahusika wanaudhuru wa kutembelewa na wenzi wao kutoka singida au Dar kwani wewe umesahau Lionchawene alivyoshikwa ugoni Singida?
  12. G

    Kuuliza si ujinga jamani.. Wizara ya nishati na madini ina manaibu waziri wangapi?

    Aliyetoa majibu atakuwa ni Mulugo maana ndio playmaker wa serikali pale bungeni
  13. G

    Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Zombie In Troubled Organization.(ZITO).
  14. G

    Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Kama kweli Zito ni mzito kuliko chama basi na Awe Chama..Zombies In Trouble Organization(ZITO).
  15. G

    Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    No Profesa Kama Profesa wa kulawiti na kuambukiza ukimwi wanafunzi AkA Ka..PUyA.
  16. G

    Kivule kimewaka, mabomu ya machozi yapigwa usiku

    We jamaa unalifahamu govih?Lazima uwe na govih
  17. G

    Zito,Mkumbo na Wenzake kufanya mkutano na waandishi wik ijayo

    Naamini katika hiki ulichokisema na pia naamini haya ni mawimbi yakisiasa Dr.Kitila Mkumbo maana kumbuka usemi fulani usemao huwezi kung'oa mbuyu au mti mkubwa bila wewe mwenyewe kutikisika..Pia huwezi kung'o mbuyu bila kuua majani na miti midogo iliyoota chini yake juu yake...Always intentions...
  18. G

    Napongeza Demokrasia ya CUF, hatimaye Lipumba atangaza kuachia Uenyekiti

    Jangili akishiriki uperesheni tokomeza ujangili akiwa na majangili wa serikali ya majangili inyoongozwa na chama cha majangili chenye katibu mkuu jangili na waziri wa maliasili jangili huku wakipanga ujangili na kutokomeza majangili ili kuzuia tokomeza majangili isiwe na mafanikio kwa majangili...
  19. G

    Meya wa Canada aasi Ulevi na kuokoka!

    Jamani Ndugu zetu Kanada vumilieni maana sisi huku kwetu Bongo Kuna waziri wa zamani amekapuya kajukuu kake na atazikwa nako maana amekaunganishia gridi ya elekitilisite ya huku....
  20. G

    Meya wa Canada aasi Ulevi na kuokoka!

    Namkubali sana Ford maana anaafadhali kuliko Meya Jerry Silaa wa Ilala aliyekwenda kuporomosha mitusi pale EATV
Back
Top Bottom