Search results

  1. M

    Msaada tafadhari

    Kama umemgombeza umeharibu, muache atulie ongea nae vizuri akumbuke aliyoweka. Tulia kubali ni mjanja zaidi yako, na atakusaidia. Kelele zingine zinaogopesha watoto na kuwanyima kuwa wao.
  2. M

    Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Andika wewe ndio unataka kumuharibia career yake, ila mmeshindwa. Mna ujinga sana wasafi.
  3. M

    Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Wasafi acheni kumwandika vibaya mwenzenu, mmejaa WIVU
  4. M

    Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Wanaotaka mradi uendelee wana ulaji wao, hakuna lingine hapo.
  5. M

    Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

    Inaonyesha awamu zote marais waliweza kutaka wapendalo liwekwe wazi. Naamini ya kabla yalikuwa na majanga makubwa zaidi.
  6. M

    Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Katuita wa jalalani, atajiju.
  7. M

    Google wanarekodi sehemu zote unazopita

    Safi sana, ila kuna mengine pia ambayo itafanya na ku-access kwenye simu yako. Muhimu sana kwenda kwenye settings za App husika na kubadili utakavyo.
  8. M

    Google wanarekodi sehemu zote unazopita

    Umetoa ruksa hayo yawe yalivyo, badili settings.
  9. M

    Mchumba ameenda Mpanda amenisaliti zaidi ya mara tatu, amerudi Mwanza kaninyima uroda kaenda kumpa jamaa mwingine. Ananiomba msamaha eti nimuoe

    Huyo usimpe nafasi ya kuwa karibu nawe, mtupe na kijiti chake. Pia fahamu sasa kuna kitu anajua kwako ndicho anapata, (sio mapenzi) baadae ataendelea na atakueleza kwamba uliyafahamu yake kabla ya ndoa. Ila haujitambui wewe, unashangaza!!!
  10. M

    Nimeiokota huko mbali (Mume wa Anita na Mchepuko wa Anita)

    Mipango hii inafanyika kiukweli duniani.
  11. M

    Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

    Awaombe mods wahamishe thread kwenda jukwaa la sheria. Moderator
  12. M

    Uchaguzi 2020 Adadi Rajabu na Andrew Chenge, wasomi wabobezi waliokatwa na kuinamisha vichwa. Usomi ni ukondoo?

    Chenge kaandikwa sana humu kwenye threads nyingi Mfahamu Mtanzania Andrew Chenge ambaye huwa anahusishwa kwenye kashfa nyingi
  13. M

    Natafuta mwenye kinanda used,offer laki mbili

    Bei ya mpya ni kiasi gani?
Back
Top Bottom