Search results

  1. naomikaje

    Scholarships for tanzanians.

    Jamani kwakweli hii inachanganya sana. Uongo mpaka lini? Mimi ni mmoja wa watu nilioaply na wiki 2 zilizopita nilipata barua hii ninaipaste hapa Dear Prospective Students, Recently, the university received a forged (fake) letter of acceptance created by our former student, Jacob...
  2. naomikaje

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    mmmhh!!!! Unaishi wapi? Mgao kama kawa tena umezidi.
  3. naomikaje

    DNT WASTE UR TYM FOR 2015: THE ISSUE IS NOT CCM or CHADEMA

    Kweli hapo ni 1+1=3, sijakupata
  4. naomikaje

    Nimezipenda solution za January Makamba kiukweli

    Nami nilikuwa sifahamu kama migodini umeme bwelele, wakati wanakomba madini tu huku tukifaidika kiduchu, duuuuuuuuuuuuuu
  5. naomikaje

    Sehemu ipi wanaume wakishikwa wanapagawa?

    sidhani kama umepata jibu la maana, mara ugoko, mara sharafa, mataka, mmmhhhh pole utachanganyikiwa. Muulize anapenda kushikwa wapi PERIOD
  6. naomikaje

    Uhusiano kati ya kuibiwa vioo vya gari na eneo la gerezani Kariakoo

    Polisi wenyewe ndo hivyo njaa kali! Bongo Tambarare bana!!! Nani Mwizi, nani polisi!
Back
Top Bottom