Search results

  1. U

    Ni nini kinachomuogopesha Magufuli ndani ya chama chake CCM?

    Matendo yao baada ya hapo ndo msingi wa hukumu zao
  2. U

    Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Ishu siyo wimbo... ishu ni umekuwa na msimamo gani baada ya hilo...
  3. U

    Kampuni ya sasatel imekufa rasmi?

    Pole mkuu, waone nenda ttcl nasikia wao hawana longolongo
  4. U

    SUZUKI CARRY INAUZWA, Odometer 27,100km, namba CKF

    nilikuwa na mpango wa kutafuta kimoja mwezi February hadi nikakata tamaa, nilikutana na vikuukuu sana kwa 8m! nimeshangaa hichi kina 27,100km na bima juu... Sina tu hiyo amount kwa sasa mkuu Oyaoya lakini nina imani wadau watakichangamkia humu...
  5. U

    SUZUKI CARRY INAUZWA, Odometer 27,100km, namba CKF

    He!mbona cheap kulingana na description?
  6. U

    Viuatilifu visivyosajiliwa na vyombo simamizi.

    Acha jazba, weka facts tukuelewe. Haijasajiliwa na nani, tamko hilo limetolewa lini na nani. Maana zimezagaa kila kona km njugu, had sisi tulikuwa tunapewa kambini.
  7. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Hili nalikubali mkuu, thanx to all GTs
  8. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Mkuu Skills4ever sina hakika na hiyo ya upande mwingine, sijawahi kuifanyia kazi, namuomba MUNGU isintokee tho mh...!!! Any way ts a home work mkuu ntaidadisi zaid...thanx kwa nyongeza ya pekee
  9. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Kwa nini umesema hivyo mkuu? Is that a joke?
  10. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Asante sana dadaangu, I wish roho hiyo ingemuingia mke wangu.
  11. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Naanza kukubaliana nawe mkuu, thanks sana kwa maoni yako
  12. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Mkuu nayachukua uliyoniambia. Sijawahi kuhisi kama ana bwana nje kwa kuwa mazingira tunayoishi yako tight kidogo na mara nyingi yuko nyumbani na ndugu na jamaa licha ya kuwa nna uwezo wa kuaccess hata simu yake bila ya yeye kujua na sijakuta hata sms yake or call yenye shaka. Hapo ndipo...
  13. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Mkuu nafuatilia sana ushauri wenu ingawa sikupenda kuongeza mke kwa sasa, maisha ya wake wengi utata ndugu yangu
  14. U

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Wakuu, Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m, alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo...
  15. U

    Rais kikwete una moyo wa plastic

    Ndo kaamka na hangover tele, tangu last week alikuwa kalala.... teh teh teh... kwi kwi kwi...
Back
Top Bottom