Search results

  1. MC babuu

    Naweza kupata ajira?kwa kuwa na cheti kwenye masomo ya account?

    Habari za jioni wana jf.naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu kozi ninayosoma ya account hofu yangu ni kwamba naweza naweza kupata ajira kwa ngazi ya cheti?.natarajia majibu mazuri kutoka kwenu kwani naamini wengi tulio hapa tuna busara.AHSANTE
  2. MC babuu

    Msaada wenu wana jf

    Nashkuru sana king kong ila nimesha google mara kibao link zikija nadownload adi 100% nikija kuangalia baada ya kukamilika nakuta ni empty ni kichwa cha habari pekee ndo kipo.
  3. MC babuu

    Msaada wenu wana jf

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa wote mliopitia uzi huu na wote watakaotoa msaada ahsanteni.naomba yeyote mwenye link za kuweza ku-download katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.najua jf ni jukwaa la wastaarabu nategemea majibu mazuri.naomba kuwasilisha
  4. MC babuu

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana jumatatu vipeperushi vya kugomea sensa vimesambazwa maeneo yote ya moshi mjini kila anayejulikana kwamba ni muislamu anapewa na kuambiwa akimaliza kusoma ampe muislamu mwenzake cha kushangaza ni kwamba wanazungumzia kugomea sensa ya watu na makazi...
  5. MC babuu

    Mfumo wa DIGITALI wa kienyeji...

    Kweli huo ubunifu kamanda wangu wilb embu nifafanulie vifaa ulivyotumia na inafanyaje kazi hii.naomba kuwasilisha
  6. MC babuu

    Naomba mnipokee.HODIII.....

    Ahsanten wote mlionipokea
  7. MC babuu

    Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

    Hovyo sijui umeingiaje umu kichwa hakifikirii kabisa na ukifikiri unawaza ujingaujinga tu jitu zima kichwa box mbona mim hizo habar nilizijua kwenye vyombo vya IPP? Na usipende kulinganisha kazi za miguu na mikono swala la ajali si uvunjifu wa aman bali kuchoma kanisa inaweza kuleta madhara...
  8. MC babuu

    Naomba mnipokee.HODIII.....

    Habarin wana jamvi niliingia bila hodi sababu sikuona mlango ila naomba radhi naamini ni waelewa na ninaomba mnipokee na niwe miongini mwenu asanteni
  9. MC babuu

    Biashara Jamani.

    Jaribu hii mkuu kutokana na mtaji wako bado ni mdogo na bado haujakomaa kibiashara(uzoefu) unaweza kufanya biashara ya mahindi kutoa vijijin na kwenda kuuza maeneo ambayo bei ni kubwa,au mayai unanunua kwa jumla kijijin na upeleke mjin au matunda ni ww tu kuangalia ipi inalipa haraka ila...
  10. MC babuu

    Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

    Umekosa wajinga wa kuwadanganya nenda kwa magamba wenzako kawadanganye zaifu mkubwa jitu zima hovyo ni ww napay
  11. MC babuu

    StarTV Live: Mjadala Bungeni Kielelezo cha kukomaa Demokrasia?

    Demokrasia inaminywa sana na hawa wabunge wanaotetea maslahi ya chama (ccm) kwa mfano walipomnyima mnyika kutoa sababu za kumkashfu mh rais wa jmt wangemuacha aeleze pengine asingetolewa nje ata hivyo nataka kumuuliza ndugai komba alivyosema cdm ni vichaa na hakuchukuliwa hatua yeyote kwa maana...
  12. MC babuu

    Mwalimu wa hesabu na Mwanafunzi

    Kwenye hesabu siwezi sema lolote
  13. MC babuu

    Toka lini umejiunga na Magereza

    Mchezo umekata askarmagereza itabidi amsubiri pai arudi
  14. MC babuu

    mhogo umekwama kooni

    Hahahaa umetisha mkuu
  15. MC babuu

    nani mtoto

    Hiyo dawa wasipewe wanawake tunatakiwa wanaume pekee
  16. MC babuu

    maskini simba

    We jamaa bana peleka fb izo mambo
  17. MC babuu

    ungekuwa wewe ungefanyaje/

    Kwanza ntachimba kila kona ya nyumba
  18. MC babuu

    Need 4 speed!

    Dah RIP walevi 208 paradiso
  19. MC babuu

    CCM na propaganda za mwaka 1970 dhidi ya M4C

    Siku hizi ata kale kasalamu kao kaccm oye wamekaacha mpango mzima n pipoooooz
  20. MC babuu

    Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

    Six battan-alikuwa na vidole sita mkononi Bi. Account-wa bk gari la spaa-wa nidhamu bwana pepsi-headmaster mabala-wa englsh msumari-alikuwa mrefu afu ana upara vodafasta-alikuwa anakazana mbya wakat akitembea compass-alikuwa anafundisha math but haeleweki unachoskia na compass
Back
Top Bottom