Search results

  1. DOMASA

    Dkt. John Pima: Jiji la Arusha tunaanza 'medical tourism', tutajenga hospitali kubwa itakayohudumia watalii na Watanzania wenye bima kubwa

    Akizungumza leo akiwa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt John Pima amesema: One of big investments ambazo Serikali imefanya kwenye jiji letu la Arusha kupitia mapato ya ndani ni kujenga hospitali kubwa. Tunaanza sasa kitu kinachoitwa medical tourism. Tutajenga...
  2. DOMASA

    Climate Change threats millions in Tanzania

    I happened to conduct an investigation into the country's state of food security. fortunately or unfortunately I was unable to publish such findings but a medium of communication such as JamiiForum help us connect with the rest of the world. I will post such findings here for anyone to read...
  3. DOMASA

    Floods cost Tanzania Us$2billion annually

    Floods cost Tanzania US$2billion annually
  4. DOMASA

    Floods cost Tanzania Us$2billion annually

    CLIMATE-change induced floods causes an estimate of Us$2billion in damage yet killing hundreds every year and without a massive investment in solid waste management it is expected to get even worse. 0 Comments A report published by Nature Climate Change last August claims that flood damages for...
  5. DOMASA

    Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma

    Bei ya nyumbani, usiogope fika #domalynclassicsalon
  6. DOMASA

    Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma

    Gharama kubwa iko kwenye wazo ambalo tayari unalo, karibu Dodoma. Karibu #domalynclassicsalon
  7. DOMASA

    Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma

    Baada ya Maamuzi ya Serikali Kuhamia Dodoma, Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma baada ya kutoa huduma Dar es Salaam. Akina dada na akina baba wanaohitaji kujiweka safi kuonekana vyema kunako ngozi na nywele tembelea saloni ya Domalyn Classic Salon iko Mkabara na Ofisi za TRA makao Makuu...
  8. DOMASA

    Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

    We kweli kilaza. Hufai kuwa mtumishi wa mungu. Kwanza unatia kichefuchefu. Hukuona wanawake wengine Hadi ukachuku mdogo MTU. Duh!
  9. DOMASA

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    Nimshukuru mleta mada, kwani ina hasi na chanya. Niongezee kwa hoja ya AVEROES kwanza kurusha mwanga kidogo kwa uzalishaji wa hii NAPTHA. NAPTHA huzalishwa kwa wingi kutokana na usafishaji mafuta ghafi (crude oil) ambapo, crude oil hutiwa ktk kinu cha moto au joto kali inayopelekea kuzalisha...
  10. DOMASA

    Sitaki wamakonde tena, nimekoma Jamani

    Huu uongo umegraduate Chuo kikuu. Haiwezekani mtu mzima na ndevu zako ukaanzishe mahusiano na katoto kenye 15yrs. Hapa inabidi tukupeleke Tamwa ama tgnp naikibidi high court kwa kosa la ubakaji.
  11. DOMASA

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Duh! Prez E L..... Hongera man!
  12. DOMASA

    Kupwaya kwa uongozi wa CHADEMA

    Ndugu umejitahidi kufafanua lakini hujakumbuka kuwa hoja aliyokuwa anajenga Mh Wenje ni juu ya usiri mkubwa wa baadhi ya vyama vya kisiasa juu ya misaada inayopewa kutoka nje ...nahii ndo hoja ya msingi ambayo wengi wetu hatukuisikia kwa kuwa tumeinyima nafasi kwa kushadadia kipengere cha ndoa...
  13. DOMASA

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Duh nadhani Wenje anapoint chamsingi CUF wakanushe tu kama mlengo wao sio wa kiliberal ndo jamaa ataomba msamaha vinginevyo busara za babu ngoswe zinahusika
Back
Top Bottom